Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaeni na live score zenu duniani msimamo wa tff upo wazi inaangaliwa head to head stand atacheza play off kagera kashuka daraja Team ya kinafiki sana ninafuraha sana hapa tunapiga mvinyo tu asanteni sana mbao fcKama kweli wanamichezo wapenda haki nchini na vyombo vya habari watapalilia uonevu huu wa kumshusha kagera kwa kisingizio cha kwamba anamsumbua simba ili hali ushahidi unaonekana.Live score zote duniani zinaonesha goal difference kagera -10,stand -12 hilo goal 1 limetoka wapi? na kwann lipunguzwe huku liongezwe kwingine?
MBONA Katwila Yanga na mechi ya Simba anampanga Kado. Umemkubali Matola baada ya mechi ya pili kufix sio na Amri Saidi. Hongera sana ila nashangaa wapenzi wa Simba kushangilia kushuka kwa Kagera Sugar ikiwa wao level yao ni kina TP Mazembe Al Ahly na AS VitaKWANZA
Klabu yangu ‘ pendwa ‘ ya Simba imekuwa Bingwa tena na Kukabidhiwa rasmi Kombe lake ili iweze Kuiwakilisha vyema Tanzania ya Rais wangu Mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika ambapo nina uhakika kwa kuwa mwaka huu tumefika hatua ya Robo Fainali basi Msimu ujao ni Kufika Nusu kisha Fainali na hatimaye tunabeba Kombe kabisa.
PILI
Klabu inayotoka Nyumbani kabisa ( Mkoa wangu wa Asili ) wa Mara ( Musoma ) ya Biashara United imebaki Ligi Kuu hivyo bado Msimu ujao wana Mara wote watakula raha na Mkoa utakuwa Kimchezo na Maendeleo yatazidi Kupatikana. Kwa kuendelea Kubaki Ligi Kuu kwa Msimu ujao nina uhakika Vipaji vingi vya Soka vilivyopo Mkoani Mara vitaonekana ili kurudisha enzi za Wachezaji kama akina George Magere Masatu, Bita John, Elias Maguri, Rajab Msoma, Kimune Mwita, Chacha Marwa, Ally Mchumilla na GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE bila kusahau na wengineo wengi sana ambao walicheza Klabu za TP Lindanda ( Pamba FC ) na wengine kwa sasa wanacheza Vilabu mbalimbali kama Mbao FC, Alliance FC, Mwadui FC, KMC FC huku wengi Wao wakiwa katika Timu za Majeshi za Ruvu, Mgambo na wengine wakiwa Timu za Polisi. Kitakwimu Mkoa wa Mara ( Musoma ) unashika Namba Tano ( 5 ) kwa Kutoa Wachezaji wenye Vipaji vya Soka / Kabumbu nchini ukitanguliwa na Mikoa ya Morogoro, Kigoma, Tabora na Mwanza pekee.
TATU
Klabu ya Rafiki yangu Kipenzi na Kocha Bora Kijana kabisa na Nahodha aliyekuwa na Mafanikio Simba SC Mtani wangu wa ‘ Kiha ‘ Suleiman Abdallah Matola ya Lipuli FC imebaki Ligi Kuu na nina uhakika Msimu ujao itafika mbali sana.
NNE
Klabu nisiyoipenda na ninayoichukia mno pamoja na Kocha wake ambaye ‘ hatupendani ‘ kabisa tokea akiwa Mchezaji Mecky Maxime ya Kagera Sugar imeshuka rasmi Daraja. Huyu Kocha ni ' Mnafiki ' mkubwa na ana ' Uyanga Uyanga ' mwingi, wa wazi wazi wala hafichi ambapo Yanga ikicheza na Kagera Sugar huwa anapanga Kikosi ' dhaifu ' makusudi ili Kagera Sugar ifungwe na Yanga lakini akijua anacheza na Simba SC huyu Kocha huwa anatumia muda wake mwingi kuwahimiza Wachezaji wake ' wakaze ' sana huku hadi akiwaahidi ' Zawadi ' nono Wachezaji wake ambazo zingine nyingi huwa anakuwa amepewa na wana Yanga ili tu ' aifunge ' Simba na huku hadi Yeye mwenyewe akishiriki katika ' Kuiroga ' Simba ili Kagera Sugar ishinde.
Kocha Mecky Maxime amevuna alichokipanda na kama wana Simba SC ' tulivyoilaani ' Toto Afrika ambayo nayo ilikuwa na ' Upuuzi ' huu huu wa Kagera Sugar kwa ' Kuikazia ' Simba kupitia kwa Kocha Wao ' Mnafiki ' mwingine Mzee John Tegete ' tumeilaani ' pia na Kagera Sugar na tutahakikisha haipandi tena Ligi Kuu kama ambavyo Simba tunaifanyia ' Fitna ' Kubwa Toto Afrika isipande Ligi Kuu na haitopanda na hazitopanda ng'o hadi wakome / zikome.
Nawasilisha.
Umesahau walipochezeshaga mchezaji ana kadi tatu za njano! Wakala njama na TFF ya malinzi! Wacha wapate malipo yao na wao. Game balanced.Kama kweli wanamichezo wapenda haki nchini na vyombo vya habari watapalilia uonevu huu wa kumshusha kagera kwa kisingizio cha kwamba anamsumbua simba ili hali ushahidi unaonekana.Live score zote duniani zinaonesha goal difference kagera -10,stand -12 hilo goal 1 limetoka wapi? na kwann lipunguzwe huku liongezwe kwingine?
Ukileta hizo tutakufutia uraia wako wa kuandikishwa urudi kwenu Rwanda, Kenge mkubwa wewe, ukimwaga mboga wenzio wanamalizia Ugali.Ni kweli ' Poti ' ila Sifa Kubwa kwa Timu yetu ya Nyumbani Mkoani Mara ( Musoma ) ya Biashara United kubakia Ligi Kuu ziende hasa kwa Mkuu Wetu wa Mkoa Ndugu Malima kwani alijitoa kwa hali na mali kuipigania kama siyo kuipambania hii Timu kwa kuipa kila aina ya Msaada iliyokuwa ikitaka japo na Wananchi wa Mkoa wa Mara nao walijitolea mno kwa Timu yao / yetu hiyo.
Kuna Ushauri mkubwa nitawapa Viongozi wa Biashara United ( Timu yetu ya Nyumbani hii ) ambapo nitawaomba waige Mbinu za Kiongozi, Mwanasiasa, Mwanamichezo Mahiri na Mpenda Michezo Marehemu Mzee Lawrence Gama ambapo itabidi Mkuu wa Mkoa Wetu Malima aanzishe Utaratibu wa kila mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) kila Mwezi achangie Pesa fulani na kila mwenye Duka Mkoani Mara awe anachangia Pesa kidogo bila Kusahau Mabasi yote yanayoingia Mkoani Mara yawe yanachangia, Kila Kinywaji Baridi au Kilevi kitakachokuwa kinauzwa au kuingia Mkoani Mara kiwe kinatozwa Hela kidogo ya Kuisaidia Biashara United na pia Klabu yenyewe iendeshe Harambee nchi nzima kwa wana Mara Kuichangia popote kule waliko kisha Uongozi wa Klabu utengeneze ' Merchandises ' zake ili Kuuuza kusudi Klabu ijipatie Kipato zaidi na kubwa zaidi nitamwomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Ndugu Malima azungumze na Mamlaka ya Mbuga ya Wanyama Kubwa nchini ya Serengeti ambayo inapatikana kwa sehemu Kubwa Mkoani Mara waweze Kuwa ama ' Main Sponsors ' au basi hata ' Co Sponsors ' wa Klabu yetu ya Biashara United na wasiishie tu hapo wazidi Kutafuta ' Sponsors ' wengine ili Timu isiwe na Shida ya Kipato ( Pesa )
Ni aibu sana na mno Mkoa ambao ni ' Asili ' kabisa ya mwana JamiiForums GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " wa Mara ( Musoma ) usiwe na Klabu / Timu Ligi Kuu ya Tanzania Bara kama Mikoa ya ' Washamba / Mambwiga ' ya Kagera, Kigoma na Dodoma bora kidogo Singida Wao wana Timu na Mwanza ila nazo hazifanyi vizuri kama Klabu bora ya Mkoani Mara ya Biashara United.
Mungu ibariki sana Biashara United na wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) wote popote pale walipo hapa Ulimwenguni ila zidi ' Kuwalaani ' vikali Watu wote wa haya Makabila yasiyojitambua ya Wahaya ( Kagera ), Wanyaturu na Warangi ( Singida ), Waha ( Kigoma ), Warangi ( Kondoa Dodoma ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza ) kwani hawana maana kabisa na isitoshe haya Makabila siyo ya Kitanzania bali yote ni ya Wakimbizi tupu na yanatujazia tu Idaidi ya bure Sisi Wana Mkoa wa Mara ambao ndiyo wenye Tanzania yetu hii na tuliyoiletea huu ' Uhuru ' leo hii.
Watani zangu mpo!!!!!!!
Imeniuma sana mimi kama mpenda haki nisie kua na usimba na uyanga niko kati kati eti kwa kua tff inaongozwa na element za usimba basi mtu afanyiwe figisu kama hizo?kweli?Chonde chonde tff kesho mje na majibu ya kutosha.
Team saa 12 jion imeambiwa itacheza playoff badae saa 2 usiku inaambiwa eti imeshuka daraja kweli jamani? Kwa mantiki ipi?
Kaeni na live score zenu duniani msimamo wa tff upo wazi inaangaliwa head to head stand atacheza play off kagera kashuka daraja Team ya kinafiki sana ninafuraha sana hapa tunapiga mvinyo tu asanteni sana mbao fc
Ukil
Ukileta hizo tutakufutia uraia wako wa kuandikishwa urudi kwenu Rwanda, Kenge mkubwa wewe, ukimwaga mboga wenzio wanamalizia Ugali.
Sema Mara nyumbani kwenu sio asili yenu fala we..Ni kweli ' Poti ' ila Sifa Kubwa kwa Timu yetu ya Nyumbani Mkoani Mara ( Musoma ) ya Biashara United kubakia Ligi Kuu ziende hasa kwa Mkuu Wetu wa Mkoa Ndugu Malima kwani alijitoa kwa hali na mali kuipigania kama siyo kuipambania hii Timu kwa kuipa kila aina ya Msaada iliyokuwa ikitaka japo na Wananchi wa Mkoa wa Mara nao walijitolea mno kwa Timu yao / yetu hiyo.
Kuna Ushauri mkubwa nitawapa Viongozi wa Biashara United ( Timu yetu ya Nyumbani hii ) ambapo nitawaomba waige Mbinu za Kiongozi, Mwanasiasa, Mwanamichezo Mahiri na Mpenda Michezo Marehemu Mzee Lawrence Gama ambapo itabidi Mkuu wa Mkoa Wetu Malima aanzishe Utaratibu wa kila mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) kila Mwezi achangie Pesa fulani na kila mwenye Duka Mkoani Mara awe anachangia Pesa kidogo bila Kusahau Mabasi yote yanayoingia Mkoani Mara yawe yanachangia, Kila Kinywaji Baridi au Kilevi kitakachokuwa kinauzwa au kuingia Mkoani Mara kiwe kinatozwa Hela kidogo ya Kuisaidia Biashara United na pia Klabu yenyewe iendeshe Harambee nchi nzima kwa wana Mara Kuichangia popote kule waliko kisha Uongozi wa Klabu utengeneze ' Merchandises ' zake ili Kuuuza kusudi Klabu ijipatie Kipato zaidi na kubwa zaidi nitamwomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Ndugu Malima azungumze na Mamlaka ya Mbuga ya Wanyama Kubwa nchini ya Serengeti ambayo inapatikana kwa sehemu Kubwa Mkoani Mara waweze Kuwa ama ' Main Sponsors ' au basi hata ' Co Sponsors ' wa Klabu yetu ya Biashara United na wasiishie tu hapo wazidi Kutafuta ' Sponsors ' wengine ili Timu isiwe na Shida ya Kipato ( Pesa )
Ni aibu sana na mno Mkoa ambao ni ' Asili ' kabisa ya mwana JamiiForums GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " wa Mara ( Musoma ) usiwe na Klabu / Timu Ligi Kuu ya Tanzania Bara kama Mikoa ya ' Washamba / Mambwiga ' ya Kagera, Kigoma na Dodoma bora kidogo Singida Wao wana Timu na Mwanza ila nazo hazifanyi vizuri kama Klabu bora ya Mkoani Mara ya Biashara United.
Mungu ibariki sana Biashara United na wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) wote popote pale walipo hapa Ulimwenguni ila zidi ' Kuwalaani ' vikali Watu wote wa haya Makabila yasiyojitambua ya Wahaya ( Kagera ), Wanyaturu na Warangi ( Singida ), Waha ( Kigoma ), Warangi ( Kondoa Dodoma ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza ) kwani hawana maana kabisa na isitoshe haya Makabila siyo ya Kitanzania bali yote ni ya Wakimbizi tupu na yanatujazia tu Idaidi ya bure Sisi Wana Mkoa wa Mara ambao ndiyo wenye Tanzania yetu hii na tuliyoiletea huu ' Uhuru ' leo hii.
Watani zangu mpo!!!!!!!
Japo mimi si mwenyeji wa Mara ila nilishaishi huko na nimefurahi kwa Biashara kubaki ligi kuu na nina mpango wa kuagiza ile jezi yao mpya nyeupe imesimama kishenzi, natafuta logistics za namna ya kuipata ile jezi nadhani ndo jezi nzuri kwa timu za ligi kuu kwa sasa hasa baada ya udhamini mpyaNi kweli ' Poti ' ila Sifa Kubwa kwa Timu yetu ya Nyumbani Mkoani Mara ( Musoma ) ya Biashara United kubakia Ligi Kuu ziende hasa kwa Mkuu Wetu wa Mkoa Ndugu Malima kwani alijitoa kwa hali na mali kuipigania kama siyo kuipambania hii Timu kwa kuipa kila aina ya Msaada iliyokuwa ikitaka japo na Wananchi wa Mkoa wa Mara nao walijitolea mno kwa Timu yao / yetu hiyo.