Ukiniuliza ni kwanini leo nina Furaha ya ‘ Ajabu ‘ basi sababu zangu Kuu ni hizi Nne ( 4 ) tu

Kwani kabula taarifa haijatolewa official bodi haikukaa kujiridhisha?
 
N
Kwani kabula taarifa haijatolewa official bodi haikukaa kujiridhisha?
Ni upuuzi. Hivi dunia hii itadiliki kudanganya kweli? Walikuwa na lao jambo. Ila sasa Kagera wajiangalie sana, wasipokuwa makini hizo mechi za play off zinawaondoa kwenye ramani, maana maboss wa mpira hapa nchini sana allege nao. Itawabidi wajiandae kwelikweli.
 
Kaeni na live score zenu duniani msimamo wa tff upo wazi inaangaliwa head to head stand atacheza play off kagera kashuka daraja Team ya kinafiki sana ninafuraha sana hapa tunapiga mvinyo tu asanteni sana mbao fc
Vp kati ya livescore zetu na zako zipi sahihi.
 

Hao BODI YA LIGI ni ' Wapumbavu ' kabisa na Kuanzia leo ' nimewadharau ' na nina ' Hasira ' nao Kishenzi ' Wapuuzi ' wakubwa.
 
Aaahaaa imekula kwako Kagera haijashuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji872]
 
Kagera alihujumiwa tu! hilo liko wazi ila ajipange asifanye makosa playoffs!!
 
Hao BODI YA LIGI ni ' Wapumbavu ' kabisa na Kuanzia leo ' nimewadharau ' na nina ' Hasira ' nao Kishenzi ' Wapuuzi ' wakubwa.
Jichome kidole uko nyuma ili tuone hasira zako
 
Nimefurahi Kagera kurudi akomae play off arudi kumalizia tundu alilotoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…