Ukiniwekea Simba na Ngogwe nitachagua Ngogwe (Nyanya chungu)

Tena sisi Wasambaa tunaziita ngoghwe! Ni zile chungu kweli kweli! Yaani hiyo kitu nisipokula ndani wiki moja tu, akili inavuruga kabisa kichwani.
Mm nna kijana wangu ni dereva wa fuso hua namugiza kindoo kidogo kutoka lushoto(homeland),I really like it,mleta uzi njoo uchukue ngogwe achana na huyo paka fc
 
Nashukuru sana Mkuu
 
Habarini Wanamichezo,

Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa

Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa

Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena

Kweli leo Chama anacheza kama Mtoto? Okay let's say alitumika sana kwenye michezo iliyopita, je kocha hakujua hilo amuanzishe Sakho au Phiri?

Mwaka unaisha hatuna kombe lolote, ukija kwa Mo Dewji alituahidi Bil 20, kama sio kujenga/ kuboresha uwanja si ingenunua wachezaji wa kutosha?

Ulishaona wapi timu inawaondoa wachezaji kumi au zaidi? Walikuwa wanafanya nini? Bodi ya Usajili iliwasajili wanini? Halafu eti Boko na Onyango hawapo kwenye list

Sawadogo alifuata nini Msimbazi?

Niwekee Nyanya Chungu (Ngogwe) na Simba ya sasa nitachukua Ngogwe

Wabillah Tawfiq.
Uwe mvulivu
 
Habarini Wanamichezo, Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena Kweli leo Chama anacheza kama Mtoto? Okay let's say alitumika sana kwenye michezo iliyopita, je kocha hakujua hilo amuanzishe Sakho au Phiri? Mwaka unaisha hatuna kombe lolote, ukija kwa Mo Dewji alituahidi Bil 20, kama sio kujenga/ kuboresha uwanja si ingenunua wachezaji wa kutosha? Ulishaona wapi timu inawaondoa wachezaji kumi au zaidi? Walikuwa wanafanya nini? Bodi ya Usajili iliwasajili wanini? Halafu eti Boko na Onyango hawapo kwenye list Sawadogo alifuata nini Msimbazi? Niwekee Nyanya Chungu (Ngogwe) na Simba ya sasa nitachukua Ngogwe Wabillah Tawfiq.
Habarini Wanamichezo,

Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa

Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa

Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena

Kweli leo Chama anacheza kama Mtoto? Okay let's say alitumika sana kwenye michezo iliyopita, je kocha hakujua hilo amuanzishe Sakho au Phiri?

Mwaka unaisha hatuna kombe lolote, ukija kwa Mo Dewji alituahidi Bil 20, kama sio kujenga/ kuboresha uwanja si ingenunua wachezaji wa kutosha?

Ulishaona wapi timu inawaondoa wachezaji kumi au zaidi? Walikuwa wanafanya nini? Bodi ya Usajili iliwasajili wanini? Halafu eti Boko na Onyango hawapo kwenye list

Sawadogo alifuata nini Msimbazi?

Niwekee Nyanya Chungu (Ngogwe) na Simba ya sasa nitachukua Ngogwe

Wabillah Tawfiq.
asa iyo ngongwe katakata afu chukua bamia lako la 300 pika mlenda tupike ugali
 
Back
Top Bottom