Ukinunua 500 mb unapewa 250 mb huu n utapeli yakinifu airtel

Ukinunua 500 mb unapewa 250 mb huu n utapeli yakinifu airtel

Juzi niliunga kifurushi cha uni waliniandikia mb 500 na dk kadhaa kuja kuanza kutumia nakuta mb mbili hii ni kwa mara ya kwanza napija customer care anabisha hakuna kitu kama hicho nimmaindi kis**** na militaka kumtukana bahati yake alikuwa mdada tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaa basi wewe utakuwa una hisa hapo..zamani walikuwa wapo poa ila kuanzia wiki mbili zilizo pita,ndio wameanza haka kamchezo kao..
Hisaa IPI wewe HAO
HAOO wafanyakazi wakoo home wanatetea ugali warudishwe ooh
 
Back
Top Bottom