Ukinunua Dawa ukazidishiwa na Daktari/Muuzaji huwa unasema au unakausha?

Ukinunua Dawa ukazidishiwa na Daktari/Muuzaji huwa unasema au unakausha?

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Habari zenu,

Kuna ile tabia unaenda dukani unanunua kitu unazidishiwa au chenji inarudi imezidi.. Kuna wengine waungwana husema papo hapo na kuna wengine hutoka na speed 120km/h bila kuangalia nyuma asije kuitwa.

Sasa tuje upande wa matibabu. Ikitokea umeenda kununua Dawa iwe Dukani/Duka la Dawa/Hospital ukazidishiwa kwenye package utarudisha au utanyamaza ukatumie na siku nyingine?

Na nini madhara yake au faida yake, Kumbuka umenunua haijalishi ni wapiii.
 
Back
Top Bottom