Ukinunua gazeti unadai risiti?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Salaam wandugu, kupitia kampuni yetu fulani tumeanzisha gazeti ambalo linatoka mara1 kwa mwezi ambalo tunalisambaza kwenye mkoa mmoja tu, na lengo letu ni kwamba liwe linapatikana kwa wauza magazeti na stationaries kubwa. Ila tumepata challenge sehemu nyingine wanakuwa wanatuhoji kuhusu ishu ya mashine hizi za EFD ambapo wanasema wateja wengine huwa wanawadai risiti kwa kila wanachonunua mradi kimeingia kwenye hayo maduka, so wanakuwa na doubt kwamba tukiweka gazeti letu inaweza kuwaletea shida. Sijui wadau imekaaje hii?
 
Ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti, kitaeleweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…