screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Salaam wandugu, kupitia kampuni yetu fulani tumeanzisha gazeti ambalo linatoka mara1 kwa mwezi ambalo tunalisambaza kwenye mkoa mmoja tu, na lengo letu ni kwamba liwe linapatikana kwa wauza magazeti na stationaries kubwa. Ila tumepata challenge sehemu nyingine wanakuwa wanatuhoji kuhusu ishu ya mashine hizi za EFD ambapo wanasema wateja wengine huwa wanawadai risiti kwa kila wanachonunua mradi kimeingia kwenye hayo maduka, so wanakuwa na doubt kwamba tukiweka gazeti letu inaweza kuwaletea shida. Sijui wadau imekaaje hii?