Ukinunua nguo za ndani au taulo dukani yafaa kuanza kutumia au ufue kwanza kabla ya matumizi?

Mtangazaji:masai ukipewa embe utafanya je cha kwanza?
Maasai:naosha nakata kata nakula
Mtangazaji:ukipewa tango
Maasai:naosha nakata kata nakula
Mtangazaji:ukipewa demu
Maasai:naosha nakata kata nakula🥶
 
Habari yenu wajuzi

Je, ukinunua taulo jipya dukani au nguo za ndani kuna usalama wa kuzitumia moja kwa moja au inafaa ufue kwanza?

Consideration
  • Nguo za ndani na taulo zilizojaa madukani hutoka China zina ubora mdogo na bei ya chini, hivyo kuna uwezekano hata dawa za kuhifadhi nguo zinaweza za bei rahisi ambazo sio rafiki kwa ngozi
  • kuna maduka watu hujaribu vesti wakiona hazitoshi wanarudisha
  • taulo / vest / boxer unayoiona ndani ya box inaweza kuwa iliwekwa nje kuvutia wateja zinashikwa sana au kupigwa na vumbi, n.k.
Kwa ulaya huwa mazingira yanaruhusu sababu nguo zinazouzwa zina ubora wa juu na zimethibitishwa dawa ya kutunzia nguo ni salama, hawana mambo ya kujaribisha, kuna sheria kali za afya madukani, n,k.
Fua
 
Aisee mbona haya majezi ya simba watu wananunua na kuvaa tuu inaweza ikawa na shida kweli
 
Kwa ulaya huwa mazingira yanaruhusu sababu nguo zinazouzwa zimethibitishwa dawa ya kutunzia nguo ni salama, hawana mambo ya kujaribisha, kuna sheria kali za afya madukani, n,k.
Siyo sheria ya kumlinda anaepelekewa mitumba, mitumba kufuliwa muhibu, ndiyo maana hata hizo nguo za Ulaya huwekwa kwenye madaraja
 
Nguo yoyote unayoinunua dukani inapaswa uifue kabla ya kuivaa

Back
Top Bottom