Ukinunua nguo za ndani au taulo dukani yafaa kuanza kutumia au ufue kwanza kabla ya matumizi?

Mtangazaji:masai ukipewa embe utafanya je cha kwanza?
Maasai:naosha nakata kata nakula
Mtangazaji:ukipewa tango
Maasai:naosha nakata kata nakula
Mtangazaji:ukipewa demu
Maasai:naosha nakata kata nakulaπŸ₯Ά
 
Fua
 
Aisee mbona haya majezi ya simba watu wananunua na kuvaa tuu inaweza ikawa na shida kweli
 
Kwa ulaya huwa mazingira yanaruhusu sababu nguo zinazouzwa zimethibitishwa dawa ya kutunzia nguo ni salama, hawana mambo ya kujaribisha, kuna sheria kali za afya madukani, n,k.
Siyo sheria ya kumlinda anaepelekewa mitumba, mitumba kufuliwa muhibu, ndiyo maana hata hizo nguo za Ulaya huwekwa kwenye madaraja
 
Nguo yoyote unayoinunua dukani inapaswa uifue kabla ya kuivaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…