Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

Kumnyang'anya mama mtoto wake ni UNACCEPTABLE!Labda kama anamnyanyasa na hamjali...zaidi ya hapo hairuhusiwi kwenye kitabu changu!

Duuh nilikuwa napima presha...wanawake wote wangekuwa hivyo tungezaa sana na kuijaza Dunia. Tatizo wengine hata hujawazalisha wanakuja kukubwagia watoto. Eeeh nani anataka presha
 
Aksante Lizzy hata hivyoninamshukuru Mungu na pia ninamshukuru huyo Ex- wangu alipata akili baada ya mimi kumpigia simu baba mkwe na kumweleza kuwa usiku huo mwanae atalala ndani ...akaongea naye bahati nzuri he was wise enough kunsikiza baba yake after half an hour akanirudishia darling wangu.................na tray ya mayai .....ilinibidi tu nicheke.

Acha bana nusu saa lakini it was like a week I see. Mimi siujui uchungu wa kuzaa kwani sikubahatika kuusikia kipindi kile ila siku ile nahisi vile nlivyokuwa nasikia ilikuwa ni uchungu....ahaaaaaaaaaa hapana bana Lizzy.

Ulishawahi kucheza karate kidogo? Mbona unatishia maisha ya watu
 
Hilo deal lao mpaka nijue pande zote zilikubaliana nini maana bwana dunia ya leo duuuh

Mkuu, hata kama walikubaliani kitu gani, haiwezekani mama huyo abebe mimba miezi tisa, akubali kumzaa huyo mtoto, akubali kumlea peke yake hadi hapo ambapo anasema sasa afadhali nakaona kanatembea, halafu aje jambazi kumuiba kisa baba ake?? Noooo kama pana amani hapa kwa nn amwibe mtoto??? Unadhani anampenda huyu mtoto huyu kumtenga na mama ake. Nahisi ujinga na upumbavu ndo unamtuma afanye hivo.

Halafu watu wakitoa mimba mnawalaumu kwa kiburi kabisa. Ni kwa sababu ya mambo kama haya pia.
 
Aksante Lizzy hata hivyoninamshukuru Mungu na pia ninamshukuru huyo Ex- wangu alipata akili baada ya mimi kumpigia simu baba mkwe na kumweleza kuwa usiku huo mwanae atalala ndani ...akaongea naye bahati nzuri he was wise enough kunsikiza baba yake after half an hour akanirudishia darling wangu.................na tray ya mayai .....ilinibidi tu nicheke.

Acha bana nusu saa lakini it was like a week I see. Mimi siujui uchungu wa kuzaa kwani sikubahatika kuusikia kipindi kile ila siku ile nahisi vile nlivyokuwa nasikia ilikuwa ni uchungu....ahaaaaaaaaaa hapana bana Lizzy.

mj1,u made me ....
 
Ulishawahi kucheza karate kidogo? Mbona unatishia maisha ya watu

Ndahani acha tu ndugu yangu, the way nilivyokuwa najisikia siku ile..bahati nzuri jiko liko mbali kidogo ama sivyo sijui....pengine na mie ningereact kama huyo mmama. Karate si kwa sana, ninako kaujuzi ka kishkaji ati
 
MJ1 Tatizo hawa watu wanadhani ile methali ya uchungu wa mwana ni maneno tu!Kuna zaidi ya ukweli ndani yake!Yani mtu akitaka kunikomoa mimi sio aninyime chakula wala pa kulala..naweza kulala kwa jirani ila mtoto hapana aisee!
 
Ha ha ha, kangaroo huyu. Kamata tupa kuleeee!!

Yani you can make him walk by his hands!..ila some Men!hata shetani anaeza kuwaita shemeji!GOD HAVE MERCY!
 
Duuh nilikuwa napima presha...wanawake wote wangekuwa hivyo tungezaa sana na kuijaza Dunia. Tatizo wengine hata hujawazalisha wanakuja kukubwagia watoto. Eeeh nani anataka presha

Hahahaha!Poleni kwa kubwagiwa!!Binafsi hamna kitu nnachochukia kama kuona mwanamke amce hashindwi kumlea mwanae anaenda kumbwaga kwa mwanaume!Yani sijui hua wanafikiria nini!Kisa cha kulelewa mwanao na mwanamke mwingine na wewe upo ni nini haswa?
 
Yani you can make him walk by his hands!..ila some Men!hata shetani anaeza kuwaita shemeji!GOD HAVE MERCY!

Kabisaaaa, Mungu turehemu tu kw kweli, kwa sababu hapa bila neema ya Mungu kukushika haswaa, na utulivu wa kimiujiza ya Mungu moyoni. Hapa unaua tu halafu mengine yatafuata baadae.
 
Yaani tangu nimeingia hapa inaonyesha wachangia mada wote wanasumu ndani ya mioyo yao kwa wanaume je umejiuliza kua kesho yakikupata utafanyeje?je huyo ulie nae amekuoa au ndo vle mwisho wa cku anakuja kumwiba handsome/beautiful wako?ooh sory kweli akiwa ke hana shida nae c ndio.
Nawasilisha hoja.
 
Duuh nilikuwa napima presha...wanawake wote wangekuwa hivyo tungezaa sana na kuijaza Dunia. Tatizo wengine hata hujawazalisha wanakuja kukubwagia watoto. Eeeh nani anataka presha

Ndahani kaka angu asikudange mtu, tuko tofauti sana. Hata wanaume ni kweli wapo wenye utu na hofu ya Mungu. Kama huyu daktari mi naona hana Utu kabisa. Na usikute huyu mama alikuwa mgonjwa wake.
 
Kabisaaaa, Mungu turehemu tu kw kweli, kwa sababu hapa bila neema ya Mungu kukushika haswaa, na utulivu wa kimiujiza ya Mungu moyoni. Hapa unaua tu halafu mengine yatafuata baadae.

kweli kabisa,kama Mungu asipokupa moyo wa kujinyenyekeza,unaeza kufia jail..Sometimes i wonder why they prefer a certain sex at the end,watoto wanakua and kila mmoja anakua na maisha yake,hutakumbuka alikua cjui wa kike o kiume,mtoto ni mtoto..
 
Yaani tangu nimeingia hapa inaonyesha wachangia mada wote wanasumu ndani ya mioyo yao kwa wanaume je umejiuliza kua kesho yakikupata utafanyeje?je huyo ulie nae amekuoa au ndo vle mwisho wa cku anakuja kumwiba handsome/beautiful wako?ooh sory kweli akiwa ke hana shida nae c ndio.
Nawasilisha hoja.

Naomba kama unaweza nijibu hili swali kwa kuwawakilisha wanaume. Kwa nini mnaiba watoto, tena mdogo kama huyo.
 
Sio sumu,its what you feel to be called a mother my dear,.ndo mana for those that haijatokea,we said "we cant imagine".
 
kweli kabisa,kama Mungu asipokupa moyo wa kujinyenyekeza,unaeza kufia jail..Sometimes i wonder why they prefer a certain sex at the end,watoto wanakua and kila mmoja anakua na maisha yake,hutakumbuka alikua cjui wa kike o kiume,mtoto ni mtoto..

Natamani atokee mwanaume hapa atupe maelezo kuhusu hili. Unajua nafikiria je nikifia jail nikiwa na uhakika nimeua ni bora kuliko kufikia huko kwa kosa la kusingiziwa. Kikubwa Mungu turehemu tu, na utuepushe na majaribu kama haya.
 
Naomba kama unaweza nijibu hili swali kwa kuwawakilisha wanaume. Kwa nini mnaiba watoto, tena mdogo kama huyo.
Kiukweli hapa mimi,wewe na yule ha2wezi kujua makubaliano ya hawa w2.wote ni wazazi iliwapasa wakae chni wajadili jinsi ya kumlea mtoto 7bu ya kumuiba cjaiona kwani mtoto ni wako 2 hata kma atalelewa na mama.But mama nae why acngemsubli sehemu nyingne amfate ofcn?Upande wangu wote wajinga kuku wako mwenyewe manati ya nini?
 
Ujinga, hasira, chuki, ghadhabu nk nk, lakini wanaume si vichwa ktk maswala kama haya tunategemea msaada wa kiakili kutoka kwenu, sasa ukileta mambo ya kijinga kama huyu unadhani moyo wa kuvumilia utakuepo kweli??
 
Back
Top Bottom