Ukinywa bia ngapi unaanza kucheza mziki?

Ukinywa bia ngapi unaanza kucheza mziki?

Kilimanjaro 2 [emoji1787][emoji1787] daah..
mi nakunywa safari hata 6 na sisimami nmechill tu
Safari hujafafanua kuna Kubwa na kuna Ndogo 6 zipi? Ukinywa Kubwa 6 ni sawa umekunywa ndogo 12, sasa wewe hizo 6 zipi mkuu?

Mimi hua nagida Safari Kubwa 5 kwa speed ya Jet alafu nashushia na ubalozi saafi kabisa, usiniige!
 
Naomba nikuoe plz
Karibu karibu 😄
Safari hujafafanua kuna Kubwa na kuna Ndogo 6 zipi? Ukinywa Kubwa 6 ni sawa umekunywa ndogo 12, sasa wewe hizo 6 zipi mkuu?

Mimi hua nagida Safari Kubwa 5 kwa speed ya Jet alafu nashushia na ubalozi saafi kabisa, usiniige!
Kubwa.. Sina kichwa panzi kabisa.
pombe ni kujiendekeza ndo mana ikija hatari watu wanakimbiaga na walilewa
 
kama vodka ni Sminorff vodka 750ml , hyo nikakata nusu naanza kutikisa kichwa kuendana na vibe la muziki.

ila kama ni bia, inategemea na mood ya hiyo siku, kama ni good mood only 2 castle lite kama sina mood hata 16 sichezi
 
Sinywi beer, nakunywa ulanzi, ko nikinywa dumla 1 oooooh ntakua dancer hapooo had nakuwa hoiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeeeeeeee karibu mkuu lingusenguse, Leo nimekunywa mno ulanzi yaani hapa nimo ndani ya JF bcs ya addiction yangu, mbeta zote nimeonja ,ni special day kwangu
 
Back
Top Bottom