Utaratibu upi mzuri? Kama ni hule wa wachagga kwenda kukutana kwao mwisho wa mwaka huo sawa hata mimi natamani hata makabila mengine waige.Halafu huu utaratibu ni utaratibu mzuri mnoooo, i wish na makabila mengine wangeuiga. Hawa watu ni majiniazi basi tu.
Halafu huu utaratibu ni utaratibu mzuri mnoooo, i wish na makabila mengine wangeuiga. Hawa watu ni majiniazi basi tu.
Hili nalo neno[emoji134][emoji134]Makabila mengine kufanyika ni ngumu sababu ya uwepo wa uchawi na ushirikina mwingi.
Ukijaribu kwenda na gari au wakijua mambo yako si haba basi utaisoma namba nakwambia!
Labda hadi hapo uchawi na ushirikina utakapoisha sijui miaka gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalimie nanjilinji mkuuWifi yangu ni Mchaga na ndiye aliyetupikia pilau leo huku kwetu Nanjilinji
wewe wasemaHalooo nasikia hata first tanzanian aka Tanzania one wa white house ni msukuma. Je naye ana matatizo hayo uliyoyasema?
Ive ni isemboMwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda.
Nina ndugu zangu 4 wameoa Kilimanjaro, wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu na watu wengine ninaowafahamu ambao sio wenyeji wa Kilimanjaro ila kila inapofika mwisho wa mwaka lazima waende huko.
Hata Pascal Mayala amesema yeye kila mwisho wa mwaka huenda Moshi wakati ni Msukuma wa Kanda ya Ziwa.
Ukioa Moshi ni kama umeolewa wewe maana utapelekeshwa kama mbuzi.
Anyway, haya ni maoni yangu na mtazamo wangu, sio lazima uyapende.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Humu ndani dawa ili kuujua ukweli ni kutongoza tu.Hivi wewe si mwanamke??? Unaapaje kutokuoa?? Kaa tulia upate bwana akuoe. Au wanaume wamekua bidhaa adimu??
Ewe kisaaaasee ww kama mm yaan hata kama nimempenda msichana kivp lakn nikigundua tu kwamba yy n mchagga bas najikuta upendo umeishaaaa ghafla. IN SHORT SIPO TAYARI KUFA KABLA YA MUDA.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 jfUkioa Moshi ni kama umeolewa wewe maana utapelekeshwa kama mbuzi
Sikujua kuwa Pascal Mayala ameolewaMwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda.
Nina ndugu zangu 4 wameoa Kilimanjaro, wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu na watu wengine ninaowafahamu ambao sio wenyeji wa Kilimanjaro ila kila inapofika mwisho wa mwaka lazima waende huko.
Hata Pascal Mayala amesema yeye kila mwisho wa mwaka huenda Moshi wakati ni Msukuma wa Kanda ya Ziwa.
Ukioa Moshi ni kama umeolewa wewe maana utapelekeshwa kama mbuzi.
Anyway, haya ni maoni yangu na mtazamo wangu, sio lazima uyapende.
Unapaswa ukamjengee kwao, si umempenda?Acha uongo wewe, kwanza Kilimanjaro wanawake hawapewi hata kiwanja cha kujenga, mke anakupeleka krismas ukakae wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app