Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

Halafu huu utaratibu ni utaratibu mzuri mnoooo, i wish na makabila mengine wangeuiga. Hawa watu ni majiniazi basi tu.
Utaratibu upi mzuri? Kama ni hule wa wachagga kwenda kukutana kwao mwisho wa mwaka huo sawa hata mimi natamani hata makabila mengine waige.

Ila kama ni huu wa kusomba hata wanaume wa kabila zingine kuwapeleka uchaggani eti kisa wameoa huko huo sio sawa hata kidogo.

Sasa kama mchagga ameoa kabila tofauti naye akapokwa na kwenda upande wa mke itakuwaje, si atakosa kurudi kwao?

Wanaume tunaoa, hivyo ruksa kuwapeleka wake zetu kwetu hata kama ni wa makabila tofauti na ya kwetu. Lakini kinyume chake siyo sawa, mwanaume kwenda kupumzika ukweni siyo sahihi hata kidogo.
 
Halafu huu utaratibu ni utaratibu mzuri mnoooo, i wish na makabila mengine wangeuiga. Hawa watu ni majiniazi basi tu.

Makabila mengine kufanyika ni ngumu sababu ya uwepo wa uchawi na ushirikina mwingi.

Ukijaribu kwenda na gari au wakijua mambo yako si haba basi utaisoma namba nakwambia!

Labda hadi hapo uchawi na ushirikina utakapoisha sijui miaka gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wifi yangu ni Mchaga na ndiye aliyetupikia pilau leo huku kwetu Nanjilinji
 
Mwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda.

Nina ndugu zangu 4 wameoa Kilimanjaro, wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu na watu wengine ninaowafahamu ambao sio wenyeji wa Kilimanjaro ila kila inapofika mwisho wa mwaka lazima waende huko.

Hata Pascal Mayala amesema yeye kila mwisho wa mwaka huenda Moshi wakati ni Msukuma wa Kanda ya Ziwa.

Ukioa Moshi ni kama umeolewa wewe maana utapelekeshwa kama mbuzi.

Anyway, haya ni maoni yangu na mtazamo wangu, sio lazima uyapende.
Ive ni isembo
 
Sikujua kuwa Pascal Mayala ameolewa
 
Huo ni UONGO

Mwanamke wa kichaga wakati wa kuolewa anaaswa kabisa akaishi na mumewe na ikitokea kuna migogoro asuluhishe hukohuko na Mume wake, wamalizane sio akimbilie nyumbani kwao...lbd ikishakuwa critical issue

Kuna makabila wanaolewa lakini wanakuwa na kiherehere cha kukimbilia nyumbani kwao, kitu ambacho kinachangia kuvunja ndoa zao

Ndoa ni Wewe na Mkeo...mnapaswa kuwa huru na maamuzi yenu.
 
Kama mkeo mda wowote ukitaka aende kwenu anaenda Sasa Kuna ugum Gan wa mimi kwenda kwao Mara moja kwa mwaka????
 
Siwezi kuoa wachaga au wa Arusha na nilio date nao tu kwa kuwachezea kwa uchunguzi wangu mdogo ni kama vichwa vyao huwa vina shida nadhani ni malezi na mazingira
 
Back
Top Bottom