Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Haujafikisha miaka ya kumuona mke kama dada/ndugu yako wa toka nitoke!Ukiona mtu kaoa / kaolewa hampost Mr / Mrs ujue bado anatafuta soko. Be proud of your spouse
Mkuu, nakupa mfano: kesho nenda dukani, kachague nguo nzuri sana utayoipenda.Wote kwa pamoja na mkeo, kuna ulazima wa kupostiana ikiwa sote tunajua nyie ni wanandoa?
Singles wanaoteseka labda ni wale ambao walitoka kwenye ndoa washazoea life la ndoa la kulala chiu..!!
Lakini kwa sisi wengine tunaenjoy asikwambie mtu..!!
Halafu wanandoa nasikia huko ndoani kuna muda mnakaa mwaka hamjapeana.. πΉπΉ
Nyie mateso yamezidi, yani kitumbua unakiona na hupewi? Unaamua kupiga nyeto dah..!
Unajua maumivu ya njaa halafu chakula unakiona kile na hukili?
Ndiomana nasema hiyo taasisi yenu ngumu..!
Wanandoa mna tu mifano twa kujifariji ili mchepuke..!! πΉMkuu, nakupa mfano: kesho nenda dukani, kachague nguo nzuri sana utayoipenda.
Utapoipata, toka nayo kila siku kauka nikuvae bila kuipumzisha hadi itapichakaa na kuchanika.
Na hizi nguo zenu za uturuki takribani 90% ni polyster yaweza kudumu hata miaka5!
Jambo hilo kama utaliweza uniweke wazi ili nishee gharama ya vazi.
Kuna kitu natakabkukwambia.
Swali, ni lazima kufanya hivyo?Mkuu hakuna shida watu wakiamua kujiweka mitandaoni, si inawafanya wajisikie furaha, hakuna shida. Nyie kujua kuwa huyu ni wife na tumeweka picha ya pamoja mnaumia?
Zamani walikuwa wanakuja wageni home tunawapa album waangalie, mbona huulizi kwa nini tuliwapa waangalie. Same as today!
Uliye single hakuna tatizo lolote utalopata kwa kweli, kwa sababu unajichagulia mwenyewe kufuata upepo wa 'desire' yako utavovuma.Wanandoa mna tu mifano twa kujifariji ili mchepuke..!! πΉ
Sasa nguo na ndoa zenu zinaingiliana vipi?
Unataka kuniambia wewe huwezi kuvumilia kulala na mkeo mpaka kifo kiwatenganishe?
Kuna ulazima wa kuchepuka?
Hayo mambo tuachieni tulio single, nyie tumikieni kiapo chenu..!! πΉ
Hii mbona mpyaKuna dada mmoja nilimsikia akisema anavutiwa na wanao vaa Pete za ndoa
Kwamba cha kuzugia ila jmnππSwali, ni lazima kufanya hivyo?
Mfano wewe mkeo hakupost je, utachukia?
Mambo ya album hizo ni njia za kizamani za kumfanya mgeni apate cha kuzugia huku akisubiri msosi. Lakini kiukweli wageni wengi hawapendi kutazama picha..!!
Ni lazima wewe kujipost mitandaoni? Ukipata jibu la wewe binafsi hata la wanandoa utalipata. Yaani nilazimishe wife anipost, nitakuwa sina akili mkuu.Swali, ni lazima kufanya hivyo?
Mfano wewe mkeo hakupost je, utachukia?
Mambo ya album hizo ni njia za kizamani za kumfanya mgeni apate cha kuzugia huku akisubiri msosi. Lakini kiukweli wageni wengi hawapendi kutazama picha..!!
Naunga mkono hojaNdoa ni uwanja wa vita, usipopigiwa mkeo, utadhulumiwa nyumba. WANAUME TUNUNUE BUNDUKI
KWEKA NDIYO mfano wa kuigwa
Hilo ndio jibu..Naona ulikua unarukaruka.Ni lazima wewe kujipost mitandaoni? Ukipata jibu la wewe binafsi hata la wanandoa utalipata. Yaani nilazimishe wife anipost, nitakuwa sina akili mkuu.
Wewe hukuwepo zama hizo so huna unalojua. Album zilikuwa muhimu sana.
Mshenga au washenga ni watu tu, ni wapuuzi na wadhaifu kama binadamu wengine.Mimi kwa mtazamo wangu: Mwanaume yeyotw akitengenezewa mazingira yoyote anaweza kulala na mwanamke yeyote isipokua mtoto wake, dada, ndugu wa karibu na watu kama hao.Kama Mume au mke anatembea na washenga wao wa harusi ambao walishuhudia ndoa ikifungwa na wakasaidia viapo.. halafu unataka kusema nini?π§ββοΈ
Mbona una akili za kitoto sana.Ukiona mtu kaoa / kaolewa hampost Mr / Mrs ujue bado anatafuta soko
Wanajaribu kukamilisha fantasy zao za kupigana miti πKama Mume au mke anatembea na washenga wao wa harusi ambao walishuhudia ndoa ikifungwa na wakasaidia viapo.. halafu unataka kusema nini?π§ββοΈ
MkuuHatukatai mna moments ngumu sijui nzuri, je kuna ulazima wa nyinyi kupostiana ikiwa ndoa ni yenu wawili?
Sasa ushasema niko single nazipitia vipi nyakati mbaya za kimahusiano? πΉ
The truth will set you free ausio!!
Ni kugumu kweli π€Ni kugumu kweli lakini nyakati ngumu sio za kila siku, wanandoa wana nyakati za nzuri sana na wanafurahia maisha, halafu kuna moments ngumu.
Niambie wewe uliye single, unapitia nyakati nzuri kila wakati?