Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa.
Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao.
Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa.
Basi nawasogezeeni hili mlichukhlie kwa upana wake;
Mkiona ndugu yenu kaolewa KANDA YA ZIWA huku hasa maeneo ambayo hayaendelea, mjue kuna mizizi mikali sana inatumika kuwazima wasirudi ama wasikumbuke makwao tena
View attachment 2619742View attachment 2619743
Sasa kama umeoa Mzaramo kila mwezi kuna kigodoro mara shughuli, sijui Ngoma na kila akienda anakaa huko wiki 3, utaweza?!
Wazaramo wenyewe wanakiita kigoma Cha Uruguay wanakipenda balaa😅Sasa kama umeoa Mzaramo kila mwezi kuna kigodoro mara shughuli, sijui Ngoma na kila akienda anakaa huko wiki 3, utaweza?!
Itakuwa wanapigwa pini tu, siyo uchawi
Kwani Waafrika wanaolowea Ulaya na Marekani miaka na miaka bila kurudi kwao wamefanyiwa uchawi?Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao.
Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa.
HahahahahaWazaramo wenyewe wanakiita kigoma Cha Uruguay wanakipenda balaa😅