Wanawake hawana Akili unaweza mpa hata gari na akalipaki kwa kukosa Mafuta tuWanajamvi..!!
Leo nmelala zangu magetoni mara nasikia mbususu inajiongelesha karibu na dirishani kwangu,tena sauti ya pili iko juu kiasi nasikia anayoongea side B.
Sasa kituko nikasikia mbususu inaomba Iphone X daaah, nikafungua pazia mtu mwenyewe ndio kwanza anakiswaswadu na hafananii hata na hizo mambo..
Nkacheka kinoma nkafunga zangu pazia nikaendeleza kuuchapa.
Huu unaitwa ulimbukeni. Mtandao wa Internet umefanya wanawake wengi waige vitu wanavyosoma na kuona bila kuwa na ufahamu navyo. Na mbaya zaidi siku hizi wame-copy maneno ya kiingereza cha kuchovya. Msipoelewana kidogo tu utasikia ''kama ni hivyo bora ni move on'' na maneno kibao ya kiingereza cha kuchovya. Huko uswazi ndiyo kichefuchefu kabisa.Ndio mademu wa leo walivyo mtu anataka umtoe aout anywe wine kumbe hata wine hajawahi kunywa, anataka kufakamia kuonekana wanapenda vitu vya bei ya juu..... Wakati hawawez na hawana uwezo wa kufanana navyo