Ukiomba "iPhone X" fanania basi!

Ukiomba "iPhone X" fanania basi!

zunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
1,529
Reaction score
1,068
Wanajamvi!

Leo nimelala zangu magetoni mara nasikia mbususu inajiongelesha karibu na dirishani kwangu, tena sauti ya pili iko juu kiasi, nasikia anayoongea side B.

Sasa kituko nikasikia mbususu inaomba Iphone X daaah, nikafungua pazia. Mtu mwenyewe ndiyo kwanza anakiswaswadu na hafananii hata na hizo mambo.

Nikacheka kinoma, nikafunga zangu pazia nikaendeleza kuuchapa.
 
Ndio mademu wa leo walivyo mtu anataka umtoe aout anywe wine kumbe hata wine hajawahi kunywa, anataka kufakamia kuonekana wanapenda vitu vya bei ya juu..... Wakati hawawez na hawana uwezo wa kufanana navyo
 
Wanajamvi..!!
Leo nmelala zangu magetoni mara nasikia mbususu inajiongelesha karibu na dirishani kwangu,tena sauti ya pili iko juu kiasi nasikia anayoongea side B.

Sasa kituko nikasikia mbususu inaomba Iphone X daaah, nikafungua pazia mtu mwenyewe ndio kwanza anakiswaswadu na hafananii hata na hizo mambo..

Nkacheka kinoma nkafunga zangu pazia nikaendeleza kuuchapa.
Wanawake hawana Akili unaweza mpa hata gari na akalipaki kwa kukosa Mafuta tu
 
Kama tako analo anastahili vits kabisa
 
Ndio mademu wa leo walivyo mtu anataka umtoe aout anywe wine kumbe hata wine hajawahi kunywa, anataka kufakamia kuonekana wanapenda vitu vya bei ya juu..... Wakati hawawez na hawana uwezo wa kufanana navyo
Huu unaitwa ulimbukeni. Mtandao wa Internet umefanya wanawake wengi waige vitu wanavyosoma na kuona bila kuwa na ufahamu navyo. Na mbaya zaidi siku hizi wame-copy maneno ya kiingereza cha kuchovya. Msipoelewana kidogo tu utasikia ''kama ni hivyo bora ni move on'' na maneno kibao ya kiingereza cha kuchovya. Huko uswazi ndiyo kichefuchefu kabisa.
 
Back
Top Bottom