Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Sijui ni kweli au ni wasiwasi wao tu au nini labda... Jamaa watu wakienda na fomu za mtandaoni wanawarudisha huku wakiwaambia eti fomu hizo zinasumbua sana ni bora wakajaze fomu za mkono kwa watendaji
Kama ni hivyo naona kama hii huduma (online) haina maana yoyote ni bora ikaondolewa au ikarekebishwa hapo penye kuleta usumbufu. Na kama hakuna tatizo lolote kwenye huduma ila ni wasiwasi tu wa maafisa wa NIDA basi mola anawaona jinsi wanavyosumbua watu.
Hebu NIDA watupe ufafanuzi zaidi juu ya hili
Soma Pia: Waziri Masauni: NIDA kuna shida ya usimamizi, Uongozi una shida, Watu wanateseka kupata Vitambulisho