changamoto kitambulisho cha nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matata25

    JamiiForums Tanzania NIDA yangu imefutika kabisa, personal details zote hazionekani kimebaki ki card blank tu. Je Kuna uwezekano wa kupata on same day?

    Mmeshindaje viongozi? Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka. NIDA yangu niliipata ikiwa imefutika baadhi ya taarifa Sasa siku moja...
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Ukiomba "NIDA ONLINE" kisha uende kwenye ofisi zao wanakurudisha eti ukajaze fomu ya mkono

    Sijui ni kweli au ni wasiwasi wao tu au nini labda... Jamaa watu wakienda na fomu za mtandaoni wanawarudisha huku wakiwaambia eti fomu hizo zinasumbua sana ni bora wakajaze fomu za mkono kwa watendaji Kama ni hivyo naona kama hii huduma (online) haina maana yoyote ni bora ikaondolewa au...
Back
Top Bottom