Matata25
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 130
- 130
Mmeshindaje viongozi?
Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka.
NIDA yangu niliipata ikiwa imefutika baadhi ya taarifa Sasa siku moja ulikuwa kwenye koti baada ya kufua nimekuja kuiona imeshafutika kabisa hakuna hata taarifa moja ni card tupu. Na Nina shida ya haraka na nahitaji physical ID ili nifanikishe jambo langu. Je naweza nikipata Monday?
Natanguliza shukran !