NIDA yangu imefutika kabisa, personal details zote hazionekani kimebaki ki card blank tu. Je Kuna uwezekano wa kupata on same day?

NIDA yangu imefutika kabisa, personal details zote hazionekani kimebaki ki card blank tu. Je Kuna uwezekano wa kupata on same day?

Hapo utaambiwa ku apply upyaaaaaaaaaaa!!!!

Yaani uanze kupeleka, nida za wazazi ama vyeti vya kuzaliwa.

Kwa kifupi yaani utafanya kama vile hujawahi kuwa na id
Mbona huo utaratibu mpya Sasa! NIDA nilipewa na imefutika na number yake ninayo je naanzaje kujisajiri upya?
 
Ukisikia wanavyojisifia sijui biometric information utafikiri kuna la maana.
Nadhani ni maneno ya mchangia maada hakuna kitu kama hicho Cha kujaza taarifa upya
 
Yeah details zipo na ile online copy ninayo nilichukuwa zamani walikuwa wanaruhu kudownload.

Mkuu mikono ya mwanaume mchakarikaji, napata wapi muda wa kujari kucha za mikono?

Muda wa kuzijali amna, jitahidi uwe unapunguza mara kwa mara !!! Sikujua kama now days hawaruhusu kudownload.... Pole kwa changamoto
 
Rushwa ni rafiki wa uovu.
Mkuu mifumo yenyew inaacha gap makusudi ili utoe chochote. Unadhani serikali inashindwa kusolve Hilo tatizo la NIDA? Mbona sim card ukipoteza ukienda unapewa hapo hapo? Ndo maana ya kuwa na fingerprint zako, sema Sasa ndo hivo ili watu waokote maana wanajuwa hii kitu ni mhimu na mtu atatoa tu
 
Nadhani ni maneno ya mchangia maada hakuna kitu kama hicho Cha kujaza taarifa upya
Inawezekana unajaza taarifa upya, lakini hata kama hujazi taarifa upya bado kupewa id mpya ni kipengele haswa, waulize watu waliopeteza. Kama wanazo biometrics ilitakiwa unaomba control number unalipia ukifika unaweka vidole tu mfumo ukisoma fingerprints zako unaprintiwa kitambulisho unaondoka nacho, sio mambo ya nenda rudi nenda rudi.
 
Muda wa kuzijali amna, jitahidi uwe unapunguza mara kwa mara !!! Sikujua kama now days hawaruhusu kudownload.... Pole kwa changamoto
Shukran mkuu. Kwa sasa huwezi kupata ile copy ilikuwa kipindi Cha JPM
 
Inawezekana unajaza taarifa upya, lakini hata kama hujazi taarifa upya bado kupewa id mpya ni kipengele haswa, waulize watu waliopeteza. Kama wanazo biometrics ilitakiwa unaomba control number unalipia ukifika unaweka vidole tu mfumo ukisoma fingerprints zako unaprintiwa kitambulisho unaondoka nacho, sio mambo ya nenda rudi nenda rudi.
Taarifa njema hiyo mkuu. Ila Sasa ukilipia ile control number na ukawa haujaongea na mtu ndo unaweza subilia mpaka miezi 6
 
Back
Top Bottom