Ilikuwa ni bahati yako ndugu au basi inategemea na ofisi, ujue tunasukumwa sana kwenda kidijitali lakini ofisi nyingi za serikali kumejaa watu wasioweza hiyo dijitali na wala hawaitakiNadhani inategemea na mfumo umekaaje, lkn Mimi binafsi niliomba online, nikaprint zile fomu zikapigwa mihuri stahiki na sikurudishwa.
Nida NI bure nadhani wanataka paper work ajira zao zisipo tee wanarudia Tena kujaza digital....Sasa ikiwa NI online hata wahamiaji haramu wanaweza kupata kirahisialafu kazibtya online anaweza kufanya MTU mmmoja kwa mania ya watuOnline service inapigwa vita na watumishi wa Serikali ili pesa inayopaswa kwenda kwenye mfuko wa Serikali iwanufaishe wao.
Ni ugumu unaotengenezwa makusudi na wahudumu vilaza wa mambo ya IT.