Ukiombwa hela ndogo na demu wako ujue amewaomba wanaume wasiopungua 100

Ukiombwa hela ndogo na demu wako ujue amewaomba wanaume wasiopungua 100

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Kumbe mademu wa mjini wanacheza huu mchezo ili wapate pesa ya kula na matumizi yao

Leo demu mmoja kanifungukia kuwa ukiona demu anakuomba pesa ndogo ujue kwa muda huo amewafowadia wanaume hiyo sms zaidi ya 50

Kwa kuwa mwanaume ataona hela aliyo ombwa ni ndogo atajitahidi amtumie

Akitumiwa 3000×50=150000.Pesa nzuri sana ya kula

Je akiwa amasave wanaume 200 na akawaomba elf 3 atakuwa na kias gani ?

Halafu wanatuma sms simple tu"Bae naomba elfu 3 ninunue luku" Halafu anakaa kusubiri response

Huu ujinga sifanyi tena
 
Afu mbususu anawatunuku wote hao?!!
 
Inakuja inakataa.

Umeambiwa 50... nikitafakari mwanamke anakuwaje na wanaume wote hao jamani wewe unakuja na wanaume 200.

Either wanawake tumeshajikatia tamaa hatujithamini tena ama mtoa mada na huyo shogaako mlilewa mkakosa cha kuongea.
 
Sasa msipowapa hela mnataka shida zao wazipeleke wapi
That is no excuse.

Ingekuwa ni sahihi basi wangefundishwa nyumbani na wazazi wao kwamba kujitoa mhanga ndo dili na wala wazazi wasingehangaika na shule.

Tuache kufumbia macho huu ujinga wa wanawake kujirahisisha na kukubaliwa kulia shida.

Shida una mikono miwili miguu miwili, mapafu yamejaa pumzi badala ya kupiga mishe za halali unataka upigwe miti ulipwe?
 
Back
Top Bottom