Ukiombwa hela ndogo na demu wako ujue amewaomba wanaume wasiopungua 100

Ukiombwa hela ndogo na demu wako ujue amewaomba wanaume wasiopungua 100

Iyo esabu umepewa na kahaba na sio mwanamke wanaume 50 au 100 anawamiliki vp labda km ni kahaba sawa ila mwanamke tu
 
I was raised by a Single Dad too and God Bless him for that.

My father taught me to appreciate the woman I see in the mirror and that the value of a woman is as high as she chooses to uphold her dignity.

Ukiamua thamani yako ni ya kuchezewa thats who you will end up being, umeshachagua fungu lako.

Ile closeness na Baba, na kutundisha A,B, Cs za how a man thinks zilitusaidia sana. Alitufundisha a man can go to such extremes kukupata sasa usipokuwa na akili ya ziada you will fail.

Pia alitufundisha kujitegemea, kutosubiri kupewa, alitufundisha a very humble life. We went to ordinary schools na hapo nilikiwaga sielewi zamani why imekuwa hivyo. Holidays zetu tulikuwa tunaenda childrens homes kuspend na the less fortunate.

Sasa katika malezi yako na binti yako wewe mhudumie ila mfundishe pia kuna kukosa ili akija kuishi maisha tofauti na unayompa ata survive bila kujishusha thamani yake.

And always, always mfundishe she will always be your little girl and always welcome at home.

Uone kama kuna kidume kitamburuza kisa vijisenti.
If you were raised this good then you should have respect to all men regardless their financial status!

There was a place nimeona umetumia harsh language and statements portraying that you have no respect to men! Haipendezi don’t be bitter namna ile.
 
Wanaume 50 duh.wote hao anaishi naye vipi?
Kati ya hamsini utakuta waliokula mzigo ni 20 ila 30 waliobakia unakuta ni wale ambao wanamshobokea manzi. So ila kuwanyoosha unakuta anawaomba 10k, 20k au 30k. Kama ujuavyo ukiwa unamuelewa manzi lazima utatoa tu ukiwa na matarajio kuwa ipo siku atakupa mzigo kumbe mwenzako yupo kazini anatafuta pesa wewe unataka mapenzi.

Kuna mwanamke mmoja alikuwa kule Kigamboni sehemu moja inaitwa ungindoni. Huyo mwanamke alikuwa na grocery ya kuuza pombe. Kiukweli alikuwa na wanaume wengi sana. Na kila mwanaume alikuwa analipa hela ya pango anapokaa na pale anapofanyia kazi( kwenye grocery yake).

Kati ya hao wanaume wote waliokuwa wanalipa kodi ya nyumbani na sehemu ya biashara hakuna ambaye aliweza kufika kwa huyo mwanamke.

Kadhalika, wanaume hao wakati mwingine walikuwa wanakutana pale kwenye grocery yake na kujikuta wote wamelipia kinywaji alichokunywa yeye.
 
Shida ni mnaotoa mia mia zenu bila malipo. Kama wote mngekuwa mnalipwa wasingecheza huo mchezo. Hizo elf tatu tatu mia halafu zote zilipiwe unadhani atakuwaje?
 
Kati ya hamsini utakuta waliokula mzigo ni 20 ila 30 waliobakia unakuta ni wale ambao wanamshobokea manzi. So ila kuwanyoosha unakuta anawaomba 10k, 20k au 30k. Kama ujuavyo ukiwa unamuelewa manzi lazima utatoa tu ukiwa na matarajio kuwa ipo siku atakupa mzigo kumbe mwenzako yupo kazini anatafuta pesa wewe unataka mapenzi.

Kuna mwanamke mmoja alikuwa kule Kigamboni sehemu moja inaitwa ungindoni. Huyo mwanamke alikuwa na grocery ya kuuza pombe. Kiukweli alikuwa na wanaume wengi sana. Na kila mwanaume alikuwa analipa hela ya pango anapokaa na pale anapofanyia kazi( kwenye grocery yake).

Kati ya hao wanaume wote waliokuwa wanalipa kodi ya nyumbani na sehemu ya biashara hakuna ambaye aliweza kufika kwa huyo mwanamke.

Kadhalika, wanaume hao wakati mwingine walikuwa wanakutana pale kwenye grocery yake na kujikuta wote wamelipia kinywaji alichokunywa yeye.
unaongelea malaya mzee hamna mwanamke wa kawaida akawa na wanaume 20 wote wanamgonga hayupo asee, watu 20 wote wanakugonga kwa wakati tofauti si balaa hiyo hahaha ukisema watatu au 5 sawa.
 
Unapigwa kwa upumbavu wako.

Find a girl, settle down and get married to her.

Spend all you wish on her, she is yours for crying out loud.
Karucee hauna young sister. I would like my kids to have some mtDNA passed on to them from your line.
 
If you were raised this good then you should have respect to all men regardless their financial status!

There was a place nimeona umetumia harsh language and statements portraying that you have no respect to men! Haipendezi don’t be bitter namna ile.
When you can't raise a sound argument you resort to such words as bitterness 🙄🙄.

My upbringing does not make me take a beating lying down. Therefore you cannot dictate to me how to behave around people who cannot agree to disagree.
 
I aint dictating but you just gotta have senses! Just a reminder, when your calm in every situation then thats when you can always make rational judgements miss Gladys!
 
I aint dictating but you just gotta have senses! Just a reminder, when your calm in every situation then thats when you can always make rational judgements miss Gladys!
I have enough sense Mr, Thank You.
 
Angalia ulichotoa ww ni elfu 3, sio alichopokea yeye kwa hao 150..hawakuhusu, pambana na elfu 3 yako.

Ila kina dada bana sio vizuri mnavyotufanyia wenzenu..hahah
 
unaongelea malaya mzee hamna mwanamke wa kawaida akawa na wanaume 20 wote wanamgonga hayupo asee, watu 20 wote wanakugonga kwa wakati tofauti si balaa hiyo hahaha ukisema watatu au 5 sawa.
Wew hujaelewa,kati ya wanaume 100 alionao ni mmoja au wawili,wengine 98 ni wale wanaomtongoza ila hajawakubalia,hivyo sasa kama mwanamke huyo ni kisu wanaume wengi watamtaka na hakatai kutoa namba ya sim

Kwa hiyo asbh akiamka anaweza kutengeneza sms moja na kuwafowadia wote wanaomtaka na walio na namba zake

Kisha hukaa kusubiri imedhibitishwa zinaingia

Pia anakuomba hela ndogo hata kama huko mbeleni hatakukubalia haitakuuma maana utahesabu ni hela ndogo

Ndivyo wanavyoishi wanawake wa mjini

Akiona amekuchuna labda elfu sita anakupiga block na kudelete na kuongeza mpya kwenye hiyo nafasi

Na wengnne hujipitisha kwa wanaume ili atoe namba ili awaondoe wengine ili aingize wapya wenye mzuka wa kutongoza
 
Ni maisha ya kawaida tu hayo,na yanachangamsha sana damu na mishipa ya fahamu, wewe kama hujawahi ombwa au huombwi jua una kasoro kwenye hii Dunia ya Mnyazi Mungu
Case closed[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom