Cc mtu flani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na hapo unakuta mimi ni bae namba 27, hahahaahah.Bae Naomba hela ninunue luku [emoji4]
HahahaAkiomba hela ya luku mwambie aje bar munywe na kuchaji simu
Wachome vitumbua, maandazi au chapati wauze, au wauze nyanya na mboga mboga kwani biashara zingine zimeisha za kufanya?Sasa msipowapa hela mnataka shida zao wazipeleke wapi
Afu mbususu anawatunuku wote hao?!!Kumbe mademu wa mjini wanacheza huu mchezo ili wapate pesa ya kula na matumizi yao
Leo demu mmoja kanifungukia kuwa ukiona demu anakuomba pesa ndogo ujue kwa muda huo amewafowadia wanaume hiyo sms zaidi ya 50
Kwa kuwa mwanaume ataona hela aliyo ombwa ni ndogo atajitahidi amtumie
Akitumiwa 3000×50=150000.Pesa nzuri sana ya kula
Je akiwa amasave wanaume 200 na akawaomba elf 3 atakuwa na kias gani ?
Halafu wanatuma sms simple tu"Bae naomba elfu 3 ninunue luku" Halafu anakaa kusubiri response
Huu ujinga sifanyi tena
That is no excuse.Sasa msipowapa hela mnataka shida zao wazipeleke wapi
Unapigwa kwa upumbavu wako.Daahh nimepigwa sana nashukuru mkuu mungu akupe maisha marefu