Ukiombwa utatoa?

Ukiombwa utatoa?

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Kabla kakunyima lifti, baadae unakutana nae katika hali hii, akikuomba msaada utatoa?














 

Attachments

  • blonde-woman-car-accident.jpg
    blonde-woman-car-accident.jpg
    39.4 KB · Views: 1,222
  • car-woman-wrong-way.jpg
    car-woman-wrong-way.jpg
    31.5 KB · Views: 1,183
  • girl-pushing-car.jpg
    girl-pushing-car.jpg
    37.3 KB · Views: 1,198
  • mud-car-woman.jpg
    mud-car-woman.jpg
    42.5 KB · Views: 1,186
  • sexy-woman-pushes-car.jpg
    sexy-woman-pushes-car.jpg
    30.4 KB · Views: 1,216
  • skinny-woman-car.jpg
    skinny-woman-car.jpg
    38.6 KB · Views: 1,156
  • sexy-women-car-problem.jpg
    sexy-women-car-problem.jpg
    34.1 KB · Views: 1,169
  • water-car-woman.jpg
    water-car-woman.jpg
    30.9 KB · Views: 1,206
Nlifundishwa kusamehe na kusahau. Nitamsaidia.
kwa kufanya hivyo nitakuwa nimemsuta sana, na atajihukumu na kujilaumu kwa kipindi cha maisha yake yote.
 
Ntampa tu msaada sasa ntafanya nini na mimi nimekulia pwani, na pwani wanasema watu tusiwe wachoyo!
 
mi mwepesi wa kusahau!
nitamsaidia
LAKINI WAKUU, KAMA ANGEKUWA DUME INGEKUWAJE?
 
mi mwepesi wa kusahau!
nitamsaidia
LAKINI WAKUU, KAMA ANGEKUWA DUME INGEKUWAJE?


Awe dume au jike, nitampa msaada kwa moyo mmoja ili mjinga asiwe mimi na credit nizikombe kilani! Ni kazi ya Mungu ili vipofu wapate kuona.
 
kama kaninyima kabla nami msaada wangu simpi kamwe
 
Ajizi nyumba ya njaa, wala hujiulizi twice, always wanawake si watoaji wa lift, sisi wanaume ndo wakarimu sana kwa hawa ndugu zetu.
 
Ajizi nyumba ya njaa, wala hujiulizi twice, always wanawake si watoaji wa lift, sisi wanaume ndo wakarimu sana kwa hawa ndugu zetu.

Usitulaumu bro, mara nyingi ni uoga tu..huchelewi two blocks away nakabwa! Inakuwa bora nusu shari kuliko shari kamili/nzima.
 
Back
Top Bottom