Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kunaguka kwa chama tawala ni pamoja na kupoteza imani kwa wananchi.
Wananchi ndio huwa wanapima na kuona mwenendo wa chama walichokiweka madarakani.
Kwa jinsi taifa letu na wananchi walivyo masikini wanapokosa msaada wa chama tawala ili kuwalinda dhidi mafisadi na wakora wa malk ya umma basi hii ni dalili mbaya kwa chaa tawala.
Wananchi wanataka kuona pesa za umma haziingii mifukoni mwa wajanja wachache, wanataka kuona miradi mkakati kama JNHP, Sgr, nk inakamilika.
Ikitokea mwanachama wa chamq tawala anatumia haki yake ya kikatiba kuhoji juu makosa yanahofanywa na chama chake,sio kosa hata kidogo.
My take; Chama tawala makini lazima kikosolewe na kujirekebisha mara moja.