GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wengine unakuta muda mwingi hataki kuwaangalia usoni bali ana angalia ukuta tu.ipo hiyo moja yaukweli na uhakika Mara nyingi anakua hawezi kuangalia vizuri kuinua uso anakua ameinamisha kichwa chini macho mazito. Israel anahesabu masaa
Wengine unakuta muda mwingi hataki kuwaangalia usoni bali ana angalia ukuta tu.
Nikweli kabisa ..nashangaaga sana,kwann siku yakufa mgonjwa anakua na furaha furaha tuuuuu
Kama yuko kitandani Iziraeli yuko sentimita negativu ziroMbona hata Wewe Mkuu unaonekana ni mwenye furaha sasa? Vipi ' Israeli ' anakaribia nini kufanya yake Kwako?
Hahahaha mkuu i am too young to die...Mbona hata Wewe Mkuu unaonekana ni mwenye furaha sasa? Vipi ' Israeli ' anakaribia nini kufanya yake Kwako?
Hahahaha mkuu i am too young to die...
Kwakweli Israel ,apite mbali kwasasa.
Kifo kimebeba fumbo kubwa snaa kwenye maisha ya mwanadamu.....
Hakuna uhusiano wowote wa kifo na kuugua
Kila mja atakufa kwa wakati wake na kwa style yake.....
No body knows
Sawa ndugu....Na hata ' Uzi ' wangu unawazungumzia sana Wagonjwa na siyo huo ' Upuuzi ' wako uliojitahidi Kuuelezea hapa. Siku nyingine uwe unasoma Kwanza ' thread ' kwa uangalifu na umakini wako mkubwa ili basi ukiwa unajibu tusione tofauti yoyote ya aina ya IQ uliyonayo.
Pole sana mkuu mzoee tu huyo ndio GentaSawa ndugu....
Samahani kama umekwazika na mtazamo wangu!!!!
Uwe na wakati mwema
Penye wengi pana mengi.......Asante nduguPole sana mkuu mzoee tu huyo ndio Genta
Sawa ndugu....
Samahani kama umekwazika na mtazamo wangu!!!!
Uwe na wakati mwema