GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mgonjwa yoyote aliyeko Kitandani kabla ya Kufa husema sana na mara kwa mara haya maneno yafuatayo hivyo kama ukiyasikia jua kuwa maandalizi ya Msiba yanatakiwa yawe ya haraka sana na taratibu zingine za maziko....
Nawasilisha.
- Regret ( anakuwa Mtu wa kujutajuta kila mara )
- Unfinished Business ( anakuwa anaumia sana kutotimiza malengo )
- Missing Someone ( kuna Mtu mmoja atakuwa anamkumbuka mara kwa mara )
- Tired ( anakuwa Mtu wa Kuchoka choka muda mrefu )
- Hallucinating ( kuna muda anakuwa kama amewehuka / amedata )
- Happiness ( anatawaliwa na furaha isiyo na ratiba )
Nawasilisha.