Ukiona dalili hizi kwa mwanamke wako achana nae atakusumbua mbeleni

Mkuu heshima yako, nina mwanamke wa kwanza nafikiria kumuoa ni dogo wa 23 ndo anamaliza kusoma, she is so humble, hana mambo mengi. Ukimtoa dinner, lunch atakupenda balaa.

Halafu kuna wa 29, huyu ni kiburi, hasira, kupenda kunyenyekewa n.k ila ana good appearance, hivi huyu anaweza badilika kweli? Ni kanda ya kaskazini.
 

Blo Komaa Na Huyo Wa 23 Ndio Utaedumu Nae Maana Uta Invest Kwake For The Long Run + Huenda Mileage Bado Haijasoma Sana (Atakua Bado Muoga Na Kuna Vitu Ukimfanyia Kuna Uwezekano Utakua Umepiga Muhuri Kwenye Moyo Wake)

Huyo wa 29 haezi badilika, Mkuu ukishaona mtu anapenda kunyenyekewa Ni Wazi Huyo Mtu Ana Itikadi Za Kunyanyasa (Unyanyasaji) Achana Nae. I Know What Im Saying. Kama Kala Hela Zako Piga Pu.Mbu Ila Usiweke Kambi Hapo. Ukisha Earn Ur Returns Bwaga. Hawanaga Maana Hao Nawajua.
 
Huyu wa 29 ni mtu ambae muda mwingi kwa simu utamsikia akisikiliza mahubiri, J2 hawezi acha ibada. Kuna muda huwa najiuliza ni maroho ya kwao ndo yanamfanya awe na mambo ya ajabu au ni nini? Ni mchaga. Ni mjuaji sana, lipokuja suala la hela hakuna kitu utamwambia, yupo tayari asiwasiliane na mimi hata wiki nzima akiwa anafatilia ishu zake za ela. Mikosana kukununia ni suala la kawaida tu mpaka mimi ndo nimuanze.

Huyu wa 23 aliwahi nambia ni BK na kwa 90% naamini hilo kwa muda ambao nimemsoma. Anansumbua sana kwenye kumpata, mara aseme ana mtu wake, lakini mfano jana nikamnunulia pad na vitu vingine vya kike na yupo comfortble, mkipishana hawezi kukukalia kimya, hana hasira, nikiongea ananisikiliza kuliko huyu mwingine ana ujuaji mwingi.

Huyu wa 29 nilimpenda sana sana na kumuamini.
 

Babu ishi na huyo wa 23. Nisikize mi nachokuambia. Kama huamini endelea.

Hamnaga mapenzi ya kunyenyekea bob. Anaekupenda hatokuumiza kichwa.
 
Hata kumjibu shit tu mkuu inatosha [emoji1787][emoji1787]

Yani aisee wengi kuwatingisha kdgo tu mwanamke anaropoka mambo kibao unamchota akili tu unaona kabisa wahed hili unapiga chini. Hyo kitu ninayo sana.
Mi huona kofi ndo njia sahihi kabisa
 
Safi sana , one of the best thread I ever seen here.
 
haya mambo ya mapenzi ni PASUA KICHWA. kikubwa kujijenga na kujiimarisha ki_UCHUMI, kuzaa nao kisha kulea watoto.baaaa$.....!!! inatosha.
 
Watoto wa 2000 hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…