passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
nonsense πMambo yanayoendelea TANZANIA ni kwa sababu Farao amejaa kiburi kaona liwalo na liwe mfano kutumia vyombo vya kimaamuzi kuwatesa watu.Ni suala la muda huyu FARAO kuanguka na litakuwa anguko kubwa na la aibu kwa sababu ya laana aliyojitengenezea.tuwe na Subira.
muda ukifika mtalia sananonsense π
amenMwenyezi Mungu anijalie afya na uzima ili nishuhudie kilele cha anguko la ccm. Nafahamu anguko lake lilianza tangu uchaguzi wao wa kumpata mgombea wa chama (2015) na hata sasa linaendelea kidogo kidogo.
ok.muda ukifika mtalia sana
ni suala la muda tu kwani mshahara wa dhambi ni mauti na na uhakika kuwa wazalendo hawawezi kuacha haya maovu kuendelea.ok.
pole sana gentleman π
ok.ni suala la muda tu kwani mshahara wa dhambi ni mauti na na uhakika kuwa wazalendo hawawezi kuacha haya maovu kuendelea.
process zinaendelea nyie wahuni kulipia maovu yenu hizi ni dalili tu.ok.
jipangeni tena kupora maduka na mabenki, kulipua vituo vya mafuta na kuchoma vituo vya polisi kizalendo zaidi na itapendeza zaidi gentleman π