Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili.
Mfano!
Tulitakiwa tutazame ajali ya mwendokasi Jana iliyotokea kisutu! Endapo gari lile lingewaka moto je zimamoto walitumia muda gani kufika pale! Umbali wa 500m tu kutoka makao ya zimamoto! Tena kwenye barabara iliyo nyooka!
Kama walifika ndani ya dakika 20 ni sawa lakini kama walikuja saa moja au mbili baadae! Tunatakiwa tujitathimi!
Mazoezi ya utayali yawe na uhalisia!
- Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli
- Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill
- Watakuwa walikuwa wanapita njia bahati nzuri ajali ikatokea mbele yao
- Aliyepata ajali ni miongoni mwao