Ukiona gari limejaa tope ujue limetoka Kigoma

Ukiona gari limejaa tope ujue limetoka Kigoma

mavya

Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
31
Reaction score
58
Nimefanya Tafiti ndogo kwa ndani ya miezi sita sasa, kwa sasa ukiwa road ukaona gari limejaa tope uko mkoani basi usiùlize limetoka wapi jua tu limetoka Kigoma.

Kwa sababu mpaka sasa toka tupate uhuru Kigoma pekee ndo mkoa ambao haujaunganishwa na mikoa mingine kwa lami.
 
Kule lami ilisahaulika, kutokana na kwamba wengi walitumia usafiri wa treni ..... ila usisahau hayo unayoyaona ni yanayokanyaga lami ... kuna maeneo ka huko morogoro vijijini - matombo/malinyi inayounga hadi songea .... handenii.....ruangwa ... etc
 
Ni aibu sana wakati ni wazawa wa Kigoma
Ni kwasababu ya kuendekeza ushirikina, inafanya waogope kuwekeza kwao, na kukana asili yao, kuna mmoja niliwahi kumwambia natakiwa kwenda home kusalimia na kulimia makaburi, alinishangaa eti naenda kitambika mara niache inani za kishirikina anipeleke kanisani kuombewa, nikauliza ina maana nyie mkizika hamrudi tena kwenye makaburi ya wapendwa wenu akasema ni mwiko kabisa, tulishangaana
 
Ni kwasababu ya kuendekeza ushirikina, inafanya waogope kuwekeza kwao, na kukana asili yao, kuna mmoja niliwahi kumwambia natakiwa kwenda home kusalimia na kulimia makaburi...
Ni mkoa gani ambao hauna washirikina nchi hii? Hata wewe ni mshirikina.
 
Back
Top Bottom