Ni kwasababu ya kuendekeza ushirikina, inafanya waogope kuwekeza kwao, na kukana asili yao, kuna mmoja niliwahi kumwambia natakiwa kwenda home kusalimia na kulimia makaburi, alinishangaa eti naenda kitambika mara niache inani za kishirikina anipeleke kanisani kuombewa, nikauliza ina maana nyie mkizika hamrudi tena kwenye makaburi ya wapendwa wenu akasema ni mwiko kabisa, tulishangaanaNi aibu sana wakati ni wazawa wa Kigoma
Kigoma wamezidi hadi wanaogopa kwaoNi mkoa gani ambao hauna washirikina nchi hii? Hata wewe ni mshirikina.