vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.