Ukiona hadi mafisadi wanaikosoa serikali lazima uogope

Nimesoma mada yako, justification kuwa mtu ni fisadi kwanza ni tajiri na ana mabasi mengi? For the record shabiby anaingia kwenye ubunge akiwa ni tajiri tayari.

Hii mindset ya kila mtu mwenye mafanikio ni fisadi huwa mnaitoa wapi?
Ni mindset ya kipumbavu sana na kimaskini. Na hii imejengwa kwenye fikra za Watanzania kipindi cha Dikteta wa Chato. Aliyesema anataka matajiri waishi kama mashetani
 
Kuna dalili serikali imeanza kuishiwa na Kila kitu wameuziana.
Sasa kinachoendelea hakuna cha kuiba Tena,kelele zimeanza
 
Kwanini mfanyabiashara tajiri anaitwa fisadi? Hii roho ya chuki kwa matajiri inadumaza uwezo wa kufikiri. Hata mada uliyoleta inakuwa useless
Watu wanahitaji mabadiliko ya fikra.
Utajiri siyo dhambi wala ufisadi.
Ufisadi ni huo upigaji wa mali za Uma anaoupinga.
Wapo matajiri wanaofanya biashara na shughuli zao kihalali na hao ni muhimu kwa jamii, nchi na taifa kwa ujumla.
 
Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.

Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.

Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.

Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.

Lazima kuwe na mambo mawili.

Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.

Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
Jifunzeni kudiscuss hoja na si kudiscuss mtu,je alicho ongea hakipo? Prove kwa hoja.
 
Kwanini mfanyabiashara tajiri anaitwa fisadi? Hii roho ya chuki kwa matajiri inadumaza uwezo wa kufikiri. Hata mada uliyoleta inakuwa useless
Kwa kuwa hakuna mfanyabiashara mwenye mafanikio hajawahi kutoa rushwa ili apate faida zaidi.
 
Ni mindset ya kipumbavu sana na kimaskini. Na hii imejengwa kwenye fikra za Watanzania kipindi cha Dikteta wa Chato. Aliyesema anataka matajiri waishi kama mashetani
Magufuli ndiye pekee aliyehakikisha pesa inabaki ndani ya nchi kwa kuwawezesha wafanyabiashara wazawa kupata upendeleo mbalimbali.
 
Shabiby kama siku sita nyuma kapigwa fain ya milioni nane ya basi zake kupakia nje ya magufuli bus terminal,
Safiii sana wanapakia nje ya Ile stand kwa sababu gani,lile jengo tulijenga kwa kodi zetu pale mbezi la kazi gani?.
Aliyempiga faini huyo mwarabu ashukuruliwe sana.....bado kuna wengi
 
Magufuli ndiye pekee aliyehakikisha pesa inabaki ndani ya nchi kwa kuwawezesha wafanyabiashara wazawa kupata upendeleo mbalimbali.
Hamna kitu na hujui namna serikali inafanya malipo ya fedha
 
Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.

Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.

Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.

Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.

Lazima kuwe na mambo mawili.

Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.

Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
Shabby wa moro?
 
Chukua mazuri yake na yale usiyoyaamini muachie mwenyewe!!

Vijana wa Kitanganyika tuna tatizo kubwa vichwani mwetu
 
Back
Top Bottom