vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Sasa si uamke, unataka nani aamke kwa niaba yako?πTuamke tukomboe taifa letu..
Sio kwamba kakosa mgao?Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
Samaki huoza kuanzia kichwaniNimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
Hili ndio nalijua leoSamaki huoza kuanzia kichwani
Kwanini mfanyabiashara tajiri anaitwa fisadi? Hii roho ya chuki kwa matajiri inadumaza uwezo wa kufikiri. Hata mada uliyoleta inakuwa uselessNimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
Nimesoma mada yako, justification kuwa mtu ni fisadi kwanza ni tajiri na ana mabasi mengi? For the record shabiby anaingia kwenye ubunge akiwa ni tajiri tayari.Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
Yule Mzee alishasema dhambi ya ubaguzi ni mbaya "watakapoamka wakiamka na kuanza kuidai Tanganyika watakuta hakuna Tanganyika wala hakuna mtanganyika bali kuna mgogo, kuna mpare, kuna mmakonde, kuna mzanaki... Hakuna Tanganyika wala hakuna mtanganyika kabisa kabisa"Watanganyika
πππππππ ndio analia hivyo ila kwakweliShabiby kama siku sita nyuma kapigwa fain ya milioni nane ya basi zake kupakia nje ya magufuli bus terminal,