Ni mindset ya kipumbavu sana na kimaskini. Na hii imejengwa kwenye fikra za Watanzania kipindi cha Dikteta wa Chato. Aliyesema anataka matajiri waishi kama mashetaniNimesoma mada yako, justification kuwa mtu ni fisadi kwanza ni tajiri na ana mabasi mengi? For the record shabiby anaingia kwenye ubunge akiwa ni tajiri tayari.
Hii mindset ya kila mtu mwenye mafanikio ni fisadi huwa mnaitoa wapi?
Watu wanahitaji mabadiliko ya fikra.Kwanini mfanyabiashara tajiri anaitwa fisadi? Hii roho ya chuki kwa matajiri inadumaza uwezo wa kufikiri. Hata mada uliyoleta inakuwa useless
Jifunzeni kudiscuss hoja na si kudiscuss mtu,je alicho ongea hakipo? Prove kwa hoja.Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
Kwa kuwa hakuna mfanyabiashara mwenye mafanikio hajawahi kutoa rushwa ili apate faida zaidi.Kwanini mfanyabiashara tajiri anaitwa fisadi? Hii roho ya chuki kwa matajiri inadumaza uwezo wa kufikiri. Hata mada uliyoleta inakuwa useless
Magufuli ndiye pekee aliyehakikisha pesa inabaki ndani ya nchi kwa kuwawezesha wafanyabiashara wazawa kupata upendeleo mbalimbali.Ni mindset ya kipumbavu sana na kimaskini. Na hii imejengwa kwenye fikra za Watanzania kipindi cha Dikteta wa Chato. Aliyesema anataka matajiri waishi kama mashetani
Jambazi lile.Magufuli ndiye pekee aliyehakikisha pesa inabaki ndani ya nchi kwa kuwawezesha wafanyabiashara wazawa kupata upendeleo mbalimbali.
Safiii sana wanapakia nje ya Ile stand kwa sababu gani,lile jengo tulijenga kwa kodi zetu pale mbezi la kazi gani?.Shabiby kama siku sita nyuma kapigwa fain ya milioni nane ya basi zake kupakia nje ya magufuli bus terminal,
Hamna kitu na hujui namna serikali inafanya malipo ya fedhaMagufuli ndiye pekee aliyehakikisha pesa inabaki ndani ya nchi kwa kuwawezesha wafanyabiashara wazawa kupata upendeleo mbalimbali.
Shabby wa moro?Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
So Samaki ameanza kuoza ???😳Samaki huoza kuanzia kichwani
Na Ukwepaji wa kodi pia !Kwa kuwa hakuna mfanyabiashara mwenye mafanikio hajawahi kutoa rushwa ili apate faida zaidi.
Chukua mazuri yake na yale usiyoyaamini muachie mwenyewe!!Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini.
Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini.
Kikawaida sio kuona mtu km huyu akiongea kwasababu ya kuwa salama kulinda mali zake.
Ukiona watu km hawa ambao wana connection za kila aina serkalini ujue hali sio nzuri.
Lazima kuwe na mambo mawili.
Eidha maslahi yake yamedunishwa ameyachukua mwingne, au wameiba na hakuna tena cha kuiba hadi wanajipata na aibu.
Watanganyika tusiwaamini hawa wnaojiita viongozi tuamke tulikomboe taifa letu kwa ajili ya vizazi vyetu.
HakikaMagufuli ndiye pekee aliyehakikisha pesa inabaki ndani ya nchi kwa kuwawezesha wafanyabiashara wazawa kupata upendeleo mbalimbali.