Ukiona kijana msela anafanya haya mambo jua huyo kuoa ni majaliwa ya Mungu

Unaonekana umesomea Mambo ya cooker na beverage
Kama mayai ya kukaanga na mkate, tambi, kama una rice cooker hata wali unachemsha tu fastaa....

Weekend unapika hata nyama, maini, kuku, mboga za mwakani, ndizi, itategemea kama dem uliempanga Atawahi kuja
 
anko magu endelea kuwanyoosha mpaka wasahau kama kuna uchaguzi 2020, kwa maana watu wamekosa kazi mpaka wanaona ni bora waandike matope [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahahha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
😀😀 kwa kweli. Unakuta mtu anaweza kuchambua mpaka matembele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…