Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
NdioHivyo unakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHivyo unakubali?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1482]Nije nipike ule, ukishiba umtafune na mpishi?[emoji28]
hapana nikisema na mpishi analiwaNije nipike ule, ukishiba umtafune na mpishi?[emoji28]
kitambo sana sijakuona hapa jukwaani!Ni ukweli kabisa
😊🤣🤣 kumbe huku tunaonana yap nipo sanakitambo sana sijakuona hapa jukwaani!
Kama mayai ya kukaanga na mkate, tambi, kama una rice cooker hata wali unachemsha tu fastaa....
Weekend unapika hata nyama, maini, kuku, mboga za mwakani, ndizi, itategemea kama dem uliempanga Atawahi kuja
Hahahahahahha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]anko magu endelea kuwanyoosha mpaka wasahau kama kuna uchaguzi 2020, kwa maana watu wamekosa kazi mpaka wanaona ni bora waandike matope [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nani wa kuniwekea limbwataAngalia usije kula libwataa