Ukiona kinaelea kimeundwa

Ukiona kinaelea kimeundwa

PakaJimmy, Preta, IshaDii just get a Room.....

Lex Aid you do know that we will have to get Husny, King'asti, Klorokwini and the threads owner too eeeh?? lol Hakuna room inatutosha woote...

On a serious note: This thread was closed posts ago... these are just additions buddy....
 
Pipi halambwi pj, yaliwa!
Adi, ushaambiwa next time,this time labda vitumbua kwa wachakachuzi wote

Wifi nimeanda chai nzito ya maziwa (ur fav) ya iriki na karafuu,
na ya majani kwa wale wasiotumiia milk ikiwa na tangawizi na iriki..
Vitafunwa ni Vitumbua (vitamu ivo...lol), pancake, boiled eggs...

Niwewe tu yaani...
 
Usikonde Mkwe , Nami nilikuwa nimepanga nikuletee wax. sasa itabidi ziwe doti 2.

Taraatiibu Mkwe... Don't make promises you kant keep....lol... Si wajua Horandee haipatikani Kariakoo, na ukitaka lazima ununue kwa pc 3 kwa bei ya Ths. 200,000 plus?? Mie sitaki utumie pesa yoote mwanangu akapate taabu huko...
 
Mkwe usihofu, mwanao kesha funguliwa account yake pale stabic kariakoo, lol. haya ni marupurupu yako, halafu siunajua leo tunaadhiisha vitu vinavyo elea si kwa sababu ni vyepesi ila viemtunzwa. Kutunza ni gharama, kunahitaji muda na uvumilivu. Kwa hiyo leo ni siku ya kuwapongeza na kuwaenzi watunzaji pia .
 
Dah!! Kumbe you are this good?? lol Nimefurahi binti yangu atakua ni safe hands - hadi waloounda vilivoundwa wapo kwenye list?? Nimefurahi...
 
Wifi nimeanda chai nzito ya maziwa (ur fav) ya iriki na karafuu,
na ya majani kwa wale wasiotumiia milk ikiwa na tangawizi na iriki..
Vitafunwa ni Vitumbua (vitamu ivo...lol), pancake, boiled eggs...

Niwewe tu yaani...
Shikamoo dada mkubwa,tafadhali naomba nifikishie salam zangu kwa wapendwa wafuatao Husni,king'ast na mtoa mada,waambie nilipita humu na kuwapa salamu,Amen.
 
Marhaba Cantalisia... My morning has improved kukuona hapa.... na hawa mabinti "washakunaku hawa" salamu nawafikishia usiwe na wasi... Turudi kwako dear... wee Mzima?? Mtambuzi nae anaendeleaje??
 
Mie mzima kbs namshukuru mungu,Mzee Mtambuzi anaendelea vizuri alisharuhusiwa tangu juzi na sasa anajiuguza nyumbani kwake, sante kwa kuwafikishia salam zangu!
 
Wengine hatuonekani pamoja na kuchangia kote eeeh?
Haya bana!
Haaa haaa!Paka jimmy sio ivo nimekuona lkn haki yani hiyo avatara yako inaniogopesha sn maana unaoneka na una hasira alafu uko busy yani ikitokea hata inzi akakugusa inaweza tokea vita ya tatu ya dunia!
Heshima yako mkuu!nisamehe bure!
 
Thats good news dear.... Be good.
 
Wengine hatuonekani pamoja na kuchangia kote eeeh?
Haya bana!

Haaa haaa!Paka jimmy sio ivo nimekuona lkn haki yani hiyo avatara yako inaniogopesha sn maana unaoneka na una hasira alafu uko busy yani ikitokea hata inzi akakugusa inaweza tokea vita ya tatu ya dunia!
Heshima yako mkuu!nisamehe bure!

Hizi posts zimenifurahisha kwa a happy kicheko...lol... Paka Jimmy i see you see......
 
Hakika ningekuwa wa kubadilibadili avatar ningeshabadili zamani, maana inanipa image mbaya sana kwa wenzangu!
Lakini nilianza na hii, na nitamaliza nayo, maana sina wazo la kuibadilisha kabisaa!...Naomba muivumilie tu, lakini kwa uhalisia wangu jinsi ulivyo muulizeni Preta, Maty au MwanajamiiOne!...
 
I see!!....i can clearly smell smthng too wrong wth this avatar now!
.
avatar15469_7.gif
 
If you don't mind me saying this.... Please don't change your Avatar, mara nyingi avatar yako portrays your posts... huna mda wa kupoteza wee wakati woote ni kazi kwenda mbele, committed and wataka results hivo kujitahidi katika kutoa hizo results... Member taratibu tutakuzoea ambao hatujakuzoea kama hivi, BUT the avatar ipo pouwa (i think) OR maybe iwe ya Bauer hivo hivo in a serious mood (as if zipo anazocheka...lol)
 
Umesomeka mkuu,usibadilishe sitakuogopa tena lol!nitakuwa nikitaka kutype nikaze macho kwenye keybod nisiiangalie kbs,naweza andika shikamoo au samahani badala ya kuchangua hoja!
 
If you don't mind me saying this.... Please don't change your Avatar, mara nyingi avatar yako portrays your posts... huna mda wa kupoteza wee wakati woote ni kazi kwenda mbele, committed and wataka results hivo kujitahidi katika kutoa hizo results... Member taratibu tutakuzoea ambao hatujakuzoea kama hivi, BUT the avatar ipo pouwa (i think) OR maybe iwe ya Bauer hivo hivo in a serious mood (as if zipo anazocheka...lol)
Mbona ya kwako ni kama vile mtu wa aibu sana, na unalazimisha khijabu ikuzibe uso wote at any point of time!
Ni kweli ni mwoga kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom