Ukiona kinaelea kimeundwa

Huyo ndo zake...
Ukienda kwake usisahau Neti yenye Ngao(Hisani ya America) kwenye bajaji yako, maana utaganda getini hadi uitiwe mwizi!
Ngachoka kabsaa Meku, Kiru!
Sirudii tena!
 
Huyo ndo zake...
Ukienda kwake usisahau Neti yenye Ngao(Hisani ya America) kwenye bajaji yako, maana utaganda getini hadi uitiwe mwizi!

jamani jamani....mimi ndio niko hivyo?....
 
jamani jamani....mimi ndio niko hivyo?....
Umesahau eeh?...Kawaida huwa mla kunde anasahau, lakini mtupa maganda hasahau!
Kwani Bigirita ulimfanyiaje juzi, na hiyo ushaisahau?
 
Umesahau eeh?...Kawaida huwa mla kunde anasahau, lakini mtupa maganda hasahau!
Kwani Bigirita ulimfanyiaje juzi, na hiyo ushaisahau?

he he...umenishinda....khaaa...
 
Shikamoo dada mkubwa,tafadhali naomba nifikishie salam zangu kwa wapendwa wafuatao Husni,king'ast na mtoa mada,waambie nilipita humu na kuwapa salamu,Amen.

Mi mbona hujanitumia salamu Canta....unajua kuwa dada yako mkubwa bila mimi haiwezekani eeh?:embarassed2:
 
Maty na Pakajimmy msiniletee kessy kwa Mkwe hapa.
 
Shikamoo dada mkubwa,tafadhali naomba nifikishie salam zangu kwa wapendwa wafuatao Husni,king'ast na mtoa mada,waambie nilipita humu na kuwapa salamu,Amen.

jamani sist lisia, habari ya wewe? Mzee anaendeleaje? Mpe salamu zangu kwa mara nyingine tena.
 
Nisamehe mkuu sikulijua hilo,Shikamoo kaka mkubwa!asante kwa kuwa kwa uwepo wako inawezekana kwa my big sisy lol!

marhabaa....marhabaa.....usijali radhi yako imepokelewa. Sweetie hebu teta na Canta anatumia kinywaji gani.....eeh

JISIKIE nyumbani
 
Sweetie hapa waongea lolote... Mfano mpe pole Kimey alikua na majonzi makubwa saana....lol

Pole Kimey pole (kwa majonzi makubwa)
Pole Kimey Pole (walivokufanyia)
Pole Kimey Pole...

Si ndo ivo sweetie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…