Pre GE2025 Ukiona kiongozi Mkubwa anahama chama peke yake tambua kwamba hakuwa na Watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Viongozi wengi wakubwa kwenye vyama vya siasa wanaokubalika wanapoondoka kwenye vyama vyao huondoka na kijiji, kwa maana wanaondoka na wafuasi wao, maana wanakuwa nao.

Lowassa alipokwenda Chadema alikuja mpaka na watu wa Usalama wa Taifa, alihama na Polisi na alihama na viongozi kadhaa, wengine ili wasidhuriwe walihama kimoyomoyo akiwemo Emmanuel Nchimbi na Sofia Simba. Wengine wamefia Chadema akiwemo Dkt Makongoro Mahanga.

Sasa ukiona Kiongozi anahama peke yake jua kwamba lilikuwa galasa, hakuwa na watu na kama ni hivyo huyo mtu maana yake alikuwa selfish na tabia yake kwa ujumla ianze kutiliwa mashaka.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
 
Lowassa alipokwenda Chadema alikuja mpaka na watu wa Usalama wa Taifa, alihama na Polisi na alihama na viongozi kadhaa, wengine ili wasidhuriwe walihama kimoyomoyo akiwemo Emmanuel Nchimbi na Sofia Simba .Wengine wamefia Chadema akiwemo Dkt Makongoro Mahanga.
Vipi alipohama chadema kurudi ccm, alihama na kijiji? Au alikuwa hakubaliki?
 
Akianza kuondoka na watu msije mkasema mengine

Msigwa ataondoka na watu wengi sana cdm

Wewe kimada wa Sugu wewe Siasa zako unaishia kwa keyboard

Vijana wengi mmebalehe juzi mnafanya Siasa mitandaoni huku mmeficha majina yenu mnajiita wapambanaji

Bwege nyie
 
Viongozi wengi wakubwa kwenye vyama vya siasa wanaokubalika wanapoondoka kwenye vyama vyao huondoka na kijiji, kwa maana wanaondoka na wafuasi wao, maana wanakuwa nao, Lowassa alipokwenda Chadema alikuja mpaka na watu wa Usalama wa Taifa, alihama na Polisi na alihama na viongozi kadhaa, wengine ili wasidhuriwe walihama kimoyomoyo akiwemo Emmanuel Nchimbi na Sofia Simba .Wengine wamefia Chadema akiwemo Dkt Makongoro Mahanga.

Sasa ukiona Kiongozi anahama peke yake jua kwamba lilikuwa galasa, hakuwa na watu na kama ni hivyo huyo mtu maana yake alikuwa selfish na tabia yake kwa ujumla ianze kutiliwa mashaka..
Hii ni kuonyesha jinsi gani unaumia na umekwazika kuhusu msigwa unaanzisha mada kila baada dakika 20!
 
Viongozi wengi wakubwa kwenye vyama vya siasa wanaokubalika wanapoondoka kwenye vyama vyao huondoka na kijiji, kwa maana wanaondoka na wafuasi wao, maana wanakuwa nao, Lowassa alipokwenda Chadema alikuja mpaka na watu wa Usalama wa Taifa, alihama na Polisi na alihama na viongozi kadhaa, wengine ili wasidhuriwe walihama kimoyomoyo akiwemo Emmanuel Nchimbi na Sofia Simba .Wengine wamefia Chadema akiwemo Dkt Makongoro Mahanga.

Sasa ukiona Kiongozi anahama peke yake jua kwamba lilikuwa galasa, hakuwa na watu na kama ni hivyo huyo mtu maana yake alikuwa selfish na tabia yake kwa ujumla ianze kutiliwa mashaka..
Kahama na Chupi yake tu, halafu eti anaomba awezeshwe na waliomnunua azunguke nchi nzima kuisema CHADEMA, jitu jinga hili...
 
Viongozi wengi wakubwa kwenye vyama vya siasa wanaokubalika wanapoondoka kwenye vyama vyao huondoka na kijiji, kwa maana wanaondoka na wafuasi wao, maana wanakuwa nao, Lowassa alipokwenda Chadema alikuja mpaka na watu wa Usalama wa Taifa, alihama na Polisi na alihama na viongozi kadhaa, wengine ili wasidhuriwe walihama kimoyomoyo akiwemo Emmanuel Nchimbi na Sofia Simba .Wengine wamefia Chadema akiwemo Dkt Makongoro Mahanga.

Sasa ukiona Kiongozi anahama peke yake jua kwamba lilikuwa galasa, hakuwa na watu na kama ni hivyo huyo mtu maana yake alikuwa selfish na tabia yake kwa ujumla ianze kutiliwa mashaka..
Acha kuongea pumba
 
Akianza kuondoka na watu msije mkasema mengine

Msigwa ataondoka na watu wengi sana cdm

Wewe kimada wa Sugu wewe Siasa zako unaishia kwa keyboard

Vijana wengi mmebalehe juzi mnafanya Siasa mitandaoni huku mmeficha majina yenu mnajiita wapambanaji

Bwege nyie
Kwi Kwi Kwi
 
Viongozi wengi wakubwa kwenye vyama vya siasa wanaokubalika wanapoondoka kwenye vyama vyao huondoka na kijiji, kwa maana wanaondoka na wafuasi wao, maana wanakuwa nao, Lowassa alipokwenda Chadema alikuja mpaka na watu wa Usalama wa Taifa, alihama na Polisi na alihama na viongozi kadhaa, wengine ili wasidhuriwe walihama kimoyomoyo akiwemo Emmanuel Nchimbi na Sofia Simba .Wengine wamefia Chadema akiwemo Dkt Makongoro Mahanga.

Sasa ukiona Kiongozi anahama peke yake jua kwamba lilikuwa galasa, hakuwa na watu na kama ni hivyo huyo mtu maana yake alikuwa selfish na tabia yake kwa ujumla ianze kutiliwa mashaka..
Chai
 
Ushauri wangu kwako Erythrocyte jaribu kupuuza masuala ya Msigwa. Yanakuvua na unaivua Nguo Chadema yenu.
 
Tuivue nguo Chadema kwa mambo ya Msigwa! labda kama hutujui
Wewe huwezi kujua Mikunjo ya uso wako bila msaada wa Kioo. Kioo kwa upande huu ni sisi. Kwa kawaida mtu mmoja hata akiwa MBOWE hawezi zidi chama. Unavyolia lia na kuanzisha sredi za kipuuzi, unaonesha alivyowaumiza kutoka.

Imagine unalinganisha mwenyekiti wa kanda na mtu ambaye kikatiba amepewa kipande cha nchi. Mtu ambaye analindwa na Bunduki 7 ambazo kikatiba hata Waziri Mkuu hana, hata Makamu wa Rais hajapewa kikatiba! Watu wenye kuwa na mwanajeshi nyuma yake ni JWTZ kwa upande wa Rais, Mkuu wa Mkoa ni Polisi na Mwenyekiti wa Kijiji Mgambo. Unalinganisha Mwenyekiti wa Kanda wa Chadema na Mkuu wa Mkoa, hapo si umewehuka kwa Msigwa kutoka chadema! Tuliza akılı kwanza.

Jaribu kuacha kuweweseka. Tulia kwanza. Msigwa ni mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom