Ukiona Marekani anavamia nchi fulani ujue sio kwa ajili ya kuisaidia wananchi wa nchi husika ila kuiba mali

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Kuna watu mpaka sasa ni kama hawawafahamu Marekani .

Ukiona wamevamia nchi fulani kama Venezuela ujue ni Economic interest and nothing else.

Ni muhimu kuendelea kutatua matatizo yetu sisi kwa sisi Afrika.
 
True, lakini tuna viongozi ambao ni waovu kuliko hata hiyo Marekani. Wanaua raia extrajudicially na wanauza raslimali za taifa primarily kunufaisha mtandao wao wa majambazi.
 
ila bado tuna nafasi nzuri ya kujitafakari na kutatua mataizo yetu sisi wenyewe
 
Japo kama kweli taifa husika lilikuwa na violation na umaskin at least wananch wanapata uhuru na unafuu maisha iwe kweli kiongozi husika alikuw atend haki katk nyanja zote
 
Kuna watu mpaka sasa ni kama hawawafahamu Marekani .

Ukiona wamevamia nchi fulani kama Venezuela ujue ni Economic interest and nothing else.

Ni muhimu kuendelea kutatua matatizo yetu sisi kwa sisi Afrika.
endelea kujitekenya na kucheka!

mwambieni mama yenu kipenzi ajiandae kunyakuliwa

Maana kuna unari hapa na lazima ichukuliwe tu mpende msipende
 
Na ndio ujanja huo, MAGA
hata samia angekua anavamia congo kutuletea gold itunufaishe ingekua unyama Sana, maana tuna changamoto nyingi hata basic need kama maji safi na salama bado ni changamoto.
 
Kama atapata mali huku sisi tukihakikishiwa usalama wa kutotekwa na kuuwawa. Honestly ni fair deal.
 
Kuna watu mpaka sasa ni kama hawawafahamu Marekani .

Ukiona wamevamia nchi fulani kama Venezuela ujue ni Economic interest and nothing else.

Ni muhimu kuendelea kutatua matatizo yetu sisi kwa sisi Afrika.
Mi wakija kuvamia Tanganyika nitaungana nao,ni bora mkolonj mweupe kuliko ccm.
 
endelea kujitekenya na kucheka!

mwambieni mama yenu kipenzi ajiandae kunyakuliwa

Maana kuna unari hapa na lazima ichukuliwe tu mpende msipende
acha story za vijiweni stay on reality
 
Kuna watu mpaka sasa ni kama hawawafahamu Marekani .

Ukiona wamevamia nchi fulani kama Venezuela ujue ni Economic interest and nothing else.

Ni muhimu kuendelea kutatua matatizo yetu sisi kwa sisi Afrika.
Off course ni economic interest, wewe ulitakaje? Tulivyovamia Uganda na kuanza kuingilia mambo yake ya ndani tangu mwaka 1971 (Kabla hujazaliwa) ilikuwa ni kwa ajili ya kuwasaidia? It was about economic interest and leadership changes, tulitaka tuendelee kuwa na serikali ya Obote. Angalia historia ya USA na Venezuela, Wamarekani ndiyo walioogundua mafuta na walikuwa wakichimba, kama tunavyofanya sisi leo, tunaambulia chini ya asilimia 5 ya royalty, wakati wenye makampuni wanashiba kwa mali isiyo yao.Usitegemee kuwa unapendwa sana na hao mabepari.
 
sahihi ila umejuaje kuwa mwaka 1971 nilikuwa sijazaliwa!!?
 
Back
Top Bottom