Ukiona Mashabiki wanaanza Kuhesabu Vidole na Kuombea Timu fulani ifungwe ili Wafuzu jua imeshapotea

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kama Wewe unazitaka kwa Udi na Uvumba Alama ( Points ) Sita ( 6 ) za Ndani Nje za Mganda unadhani na Yeye Mganda hazitaki zako Sita ( 6 ) za Nje Ndani?

Halafu nani aliyewaambia na Kuwadanganya kuwa Mgine nae akija Temeke atakuja Kizembezembe wakati Kimahesabu Yeye na Wewe ( Sisi ) Kinyumenyume Ziingie Tatu za Mwarabu FC ameshaona kuwa ana 75% ya Kufuzu akiungana na Mwarabu Wetu ambaye nina uhakika hata Turoge vipi tukienda Kwao zikipungua mno tunafungwa nao 8 kwa 0 japo Mimi kwa Kikosi chetu cha hovyo hovyo na Fitna zao Waarabu naziona kabisa Goli 9 ( Kenda ) za Kufungwa nao.

Acheni kupoteza muda tulipo anapita Mwarabu na Mgine na Sisi tujipange tu na NBC Premier League yetu, TFF ASFC, Mapinduzi Cup ijayo na Kununua Wachezaji wa hovyo hovyo na wa Bei Nafuu ( huku Mwekezaji Panjuani Kibyongo ) akipigwa nao tu 10% na Wajanja huku wakiendelea Kutajirika na Kuporomosha Majumba na Shopping Malls Wilaya ya Kinondoni.

Tukifuzu ( tukichomoka ) hapa kwa hili Timu letu Bovu lenye Michezaji ya hovyo naenda Kunya kwa Makusudi pale MP1 Lugalo Makongo mbele ya Afande Victor na Afande Jane.

Endeleeni tu Kudanganyana kwa Hesabu zenu za Vidole na Kubashiri ( huku mkimuombea mabaya Mganda ) na kujipa Moyo kuwa tutafuzu / mtafuzu.

Hovyo kabisa.....!!!!!!
 
Gentamycine unaipenda sana Simba na unaumiza sana na matokeo yasiyoridhisha pole sana Mkuu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Siitwi Gentamycine bali naitwa Minocycline tafadhali sawa? Yeye ni 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na Mimi ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' je, tunaweza kuwa sawa Ndugu?
 
Lakini si ndo wewe ulikuwa unaunga mkono Sultan Mangungo of Msovero arudi kwenye kiti? na ukafurahi zaidi mjumbe Kassim Dewji alipoamua kuachana na Simba kwa kujivua nyadhifa zake zote?
 
Back
Top Bottom