Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

Sikufaidika chochote na elimu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa elimu mkuu, naomba hao wengine wasikuvunje moyo.

Leo nimepata kitu kipya katika uzi wako shukrani sana
 
Umesahau kuna gari za askari zina plate namba za singapore...
Pwani ya kaskazini wana gari yenye namba za UK. Ila sijaona mantiki ya kutumia hizo namba wakati hazimo katika mfumo wa namba za nchi, ukichukulia sheria inayotaka kila gari itumie namba halali na ndio maana kuna muda maalum (miezi mitatu) ukiingiza gari kutoka nje lazima ubadilishe namba, na hata kama inatoka Zanzibar.
 
magari
 
Siku hizi wale makachero wa jeshi la polisi wanatumia gari kali mno,kama Discovery,Range Rover na V8
Ni yale DPP alioomba mahakama kutaifisha toka kwa mafisadi na wauza unga
 
Hii nchi hatuna msimamo katika kila kitu. Hivyo vitambulisho vya wenye nchi vingine nivkifupi kwa Kiswahili vingine Kiingereza.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Mbona gari langu umelisahau.
Limeandikwa JIDUZZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…