Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

Kwanini baadhi ya namba ziwe na vifupisho vya kingereza nyingine ziwe kwa kiswahili mfano kwanini waziri itumike "W" ila katibu mkuu kiongozi Iwe "CS" na sio "KMK"
 
Kwanini baadhi ya namba ziwe na vifupisho vya kingereza nyingine ziwe kwa kiswahili mfano kwanini waziri itumike "W" ila katibu mkuu kiongozi Iwe "CS" na sio "KMK"
 
Shukran mkuu kwa kunifungua
Mm DFP nilikua najua ni kifupi cha dada fatuma pakua
Na SU ni soma ule
 
Vitu vidogo vidogo tunalack consistency na umakini!

Gari ya waziri imeandikwa W
Gari ya jaji imandikwa J

Kwanini gari ya katibu mkuu kiongozi isiandikwe KM inaandikwa CS?

zingine kiingereza zingine kiswahili
Point.
 
Naomba kujua ya wasiojukikana yanakuwa na plate namba gani
 
Tuelezee kuhusu malori..
View attachment 1475386
Loli muda si mtefu yatakuwa na rangi nyeupe kwa sababu lengo la awali ilikua ni ku stimulate ubebaji wa mazao na mizigo hasa bandalini...haikua biashara ya moja kwa moja.
Sasa maloli yanakata sumatra (kuna mtu aliniambia)
Ambapo zamani yalikuwa hayakati.
Loli ilionekana kisaidizi cha biashara sio biashara na wakati huo vyama vya ushirika na makampuni ya umma yakimiliki maloli mengi kuliko watu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…