Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

Kuna gar anatembelea makonda. Modified Landcruizer ya zamani huwa plate no zaje sizielewi
 
Itakuwa ndyo ya makond. Plate no znaanza na NHF
 
Kuna gari nimeziona zina number plate nyeupe,maandishi mekundu T...CC1 ni za taasisi gani?
 
Ina faida gani kujua , story za STD II
 
Nishakutana na gari ikiwa na escort ya polisi na nikashindwa kuijua ni ya nani. Kibao chake kilikuwa na herufi NS tu, je ni ya nani?
 
Niliona tractor Manisipaa ya Bukoba inayovuta tela la taka inaanza na namba hii na pia kuna baadhi ya magari zamani yalikuwa yanatumia hiyo namba. Huwa najiuliza Chama cha walimu wana au walikuwa na special number? Kwa anaejua tafadhali tunaomba elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…