Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

Malori yanabeba abiria kibiashara? Malori yanafanya biashara ya kusafirisha mizigo na sio abiria. Ila kwa magari yanayo safirisha abiria Kama tax, mabasi ya mikoani au wilayani au dalala na piki piki ndio Zina plate number za rangi nyeupe.

Zanzibar private ni nyeupe commercial nyekundu.
 
Kwnini malori hayana plate namba nyeupe ilhali yanafanya biashra?

Yanafanya biashara ya mizigo.

Namba plate nyeupe ni biashara ya kubeba abiria. Hata kirikuu zinabeba mizigo ila namba plate Ni njano. Ni kawaida ila sijui sababu
 
Unabisha kwa sababu hujawahi kuona. Nikae kinya kana kwamba nimeandika ujinga au😀. Acha ubinafsi, kwa hiyo unalolijua wewe ndiyo ukweli pekee?

SJK, SJX etc kuna namba kama hizo.

Sema kwa sababu ya kulinda heshima siwezi kutaja Halmashauri yenye namba kama hizo.
Namba ya Gar ya Mkurugenzi wa Halmashauri ni SM.... Wewe katika coment yako umesema magari ya wakurugenzi ni hizo plate number nyeuzi na namba za herufi (kama za singapore) kama ulikuta mkurugenzi alitumia hiyo plate number labda kipindi cha uchaguzi kwa sababu za usalama. Ila number rasmi ya magari ya wakurugenzi wa jiji, manispaa, halmashauri ni SM.
 
Hii plate nimekutana nayo kwenye cruiser moja matata. Nikabaki nimekodoa tu
Kuna uwezekano mkuu tuliona gari moja hiyo cruiser ila kwa nyakati tofauti maana binafsi sijawahi ona gari ingine ina plate number kama ile na njia yangu nnapotoka kazin ndo nnakutana nayo mara nyingi na ajabu yake nishauliza waendesha usafiri tofauti tofauti hamna alinipa jibu wote waliniambia ukweli wanahisi labda kwa majibu yao.
 
Niliwaza kuipiga picha , nikakumbuka ununio nikashika adabu yangu
Mie niliwaza lkn ilikua ina overtake hatari na pia iko tinted mpka mie na chuma yangu nikaona acha iende maana mwenzangu aliniambia kwan si tushatoka kazin haina haja ya kua na haraka muache tu aende zake huyo. Nikapiga kimya chap
 
Uhamiaji Tanzania UT
Kipindi cha uchaguzi nilikutana na gari limeandikwa UT nikajua ni wale waliotaka kumteka yule Zakaria wa Tarime, Nilikaa mbali na hiyo gari kiasi kwamba sikutaka niwe nayo karibu.kumbe Uhamiaji asante mdau japo nao ni walewale; Hawa jamaa walioenda kwenye makaburi ya wazazi wa kakobe kujua uraia wake.Kakobe akaufyata[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1].
 
Namba ya Gar ya Mkurugenzi wa Halmashauri ni SM.... Wewe katika coment yako umesema magari ya wakurugenzi ni hizo plate number nyeuzi na namba za herufi (kama za singapore) kama ulikuta mkurugenzi alitumia hiyo plate number labda kipindi cha uchaguzi kwa sababu za usalama. Ila number rasmi ya magari ya wakurugenzi wa jiji, manispaa, halmashauri ni SM.

Sawa nimekubali
 
Kuna uwezekano mkuu tuliona gari moja hiyo cruiser ila kwa nyakati tofauti maana binafsi sijawahi ona gari ingine ina plate number kama ile na njia yangu nnapotoka kazin ndo nnakutana nayo mara nyingi na ajabu yake nishauliza waendesha usafiri tofauti tofauti hamna alinipa jibu wote waliniambia ukweli wanahisi labda kwa majibu yao.
Cruser jipya jipyaa ila namba A, nimekutana nalo barabara ya mbezi chini huku rainbow
 
Back
Top Bottom