Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize, je yeye hana mkopo?

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO

Na Unoko ni Uzalendo

Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya huo mkopo ameiweka serikali au mali zake binafsi?

Kuna wakati tusijifanye tuna uzalendo wa hii Nchi kuliko Watanzania wengine. Serikali kukopa kwa ajili ya Maendeleo yetu Watanzania hakuna shida tena Serikali ya Awamu ya Sita inakopa kwa Uwazi sana na kwenda mbali kusema hizo fedha zinakwenda kwenye shughuli gani za Maendeleo.

Nani asiyejua asilimia 98 ya Wabunge wana mikopo na dhamana ni serikali hata huyo Spika Ndugani inawezekana ana mkopo mkubwa katika benki za hapa kwetu lakini ameogopa kuweka dhamana hata sturi ya sebreni kwake ameiweka Serikali.

Arafu anakuja Mbele ya Umma kujifanya Serikali kukopa sio sawa wakati anaona yanayofanyika katika fedha hizo. Jimboni kwake Mashule, Hospitali na Barabara zimejengwa KONGWA hata hiko kipande cha Reli ya SGR kinapita Jimboni kwake..!!

Tuache serikali ya Awamu ya Sita (6) ifanyeshughuli zake za Maendeleo kwa Watanzania maana Watanzania wameonyesha imani kubwa kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hivyo asitokee Mtu yoyote kwa maslahi yake binafsi kukwamisha Juhudi za serikali kuwaletea Maendeleo Watanzania.

Screenshot_20211229-101958.jpg
 
View attachment 2061436
Huyu kajimaliza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
naunga mkono hoja
p
 
Kwani kazi ya Bunge na Mbunge ni nini ? Mbunge kuihoji Serikali imekuwa ni kosa halafu mnaongelea Katiba mpya wakati hata iliyopo hamuielewi ?

Low IQ!
 
UMFANYA UTAFITI LINI?.
 
Laana ya kumsingizia Yesu ndoa ndio inamla Ndugai
 
Wewe una matatizo Ndugai siyo kiongozi ni kichaa
 
Kwani kazi ya Bunge na Mbunge ni nini ? Mbunge kuihoji Serikali imekuwa ni kosa halafu mnaongelea Katiba mpya wakati hata iliyopo hamuielewi ?

Low IQ!
Pumbavu mkubwa wewe
Mbona hakuhoji kipind cha mwendazake??

Acha unafiki huku nikutaka kukwamisha serikali ionekane mbaya kwa wananchi
Wajinga nyie
 
Hilo ni swala lingine, lkn kama Spika na Mbunge hajafanya kosa lolote lile kuihoji Serikali ndiyo kazi yake.

Ulishawahi kusikia kuhusu Mihimili 3 i.e Serikali, Bunge na Mahakama ? Ningeelewa kama Waziri Mkuu angehoji na ninyi kumshambulia lkn huyu Spika wa Bunge siyo Serikali ni Bunge na ni kazi yake aliyotumwa na wananchi.

PS usiwe soo emotional !
 
Sh
UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO

Na Unoko ni Uzalendo

Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya huo mkopo ameiweka serikali au mali zake binafsi?

Kuna wakati tusijifanye tuna uzalendo wa hii Nchi kuliko Watanzania wengine. Serikali kukopa kwa ajili ya Maendeleo yetu Watanzania hakuna shida tena Serikali ya Awamu ya Sita inakopa kwa Uwazi sana na kwenda mbali kusema hizo fedha zinakwenda kwenye shughuli gani za Maendeleo.

Nani asiyejua asilimia 98 ya Wabunge wana mikopo na dhamana ni serikali hata huyo Spika Ndugani inawezekana ana mkopo mkubwa katika benki za hapa kwetu lakini ameogopa kuweka dhamana hata sturi ya sebreni kwake ameiweka Serikali.

Arafu anakuja Mbele ya Umma kujifanya Serikali kukopa sio sawa wakati anaona yanayofanyika katika fedha hizo. Jimboni kwake Mashule, Hospitali na Barabara zimejengwa KONGWA hata hiko kipande cha Reli ya SGR kinapita Jimboni kwake..!!

Tuache serikali ya Awamu ya Sita (6) ifanyeshughuli zake za Maendeleo kwa Watanzania maana Watanzania wameonyesha imani kubwa kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hivyo asitokee Mtu yoyote kwa maslahi yake binafsi kukwamisha Juhudi za serikali kuwaletea Maendeleo Watanzania.

View attachment 2061436
Shida inaanzia kwenye uchaguzi wa viongozi,wizi wa kura
 
Kwani kazi ya Bunge na Mbunge ni nini ? Mbunge kuihoji Serikali imekuwa ni kosa halafu mnaongelea Katiba mpya wakati hata iliyopo hamuielewi ?

Low IQ!
🤣🤣🤣🤣🤣
Hesabu za kujumulisha tu jasho! halafu wanalilia za kugawanya.
 
Ndugai hajakataa serikali kukopa, anachoshanga tunakopa bila sababu za msingi, tozo zilitosha kujenga shule na vituo vya afya, why tena mchukue mkopo mwingine kuna ulazima gani? Ukatae ukubali Ndugai hajakulupuka tu kuongea hivyo, kuna ujinga mwingi unaendelea ambao viongozi mmoja mmoja inabidi waanze kumwaga mboga, rejea ishu ya sukari nani alikuwa sahihi waziri au mama? Msimshambulie Ndugai personal jibuni hoja zake ana hoja nzito nzito zenye maslahi ya nchi hii
 
Back
Top Bottom